Tumetoka mbali Sana, lakini hanithamini!

Tumetoka mbali Sana, lakini hanithamini!

mama S

Member
Joined
Mar 24, 2014
Posts
61
Reaction score
39
Nimekua kwenye mahusiano kwa miaka mitano sasa na mpenzi wangu ambae ni mpenzi wangu wakwanza;maisha yalikuwa magumu lakini tulipambana na niliamini kwamba ipo Siku mambo yatakuwa sawa tuu kwa uwezo wa mwenyezi mungu baada ya miaka miwili kweli mwezangu alipata kazi nzuri maisha yakabadilika cha kushangaza toka apate kazi amekuwa akiniambia maneno ambayo siyaelewi "sio lazima mpaka ufe na Mimi; fanya yako "lakini tatizo ni kwamba bado na mpenda;lakini pia nahisi nikotayari kuendelea na maisha yangu please naombeni ushauri na nimezaa nae:
 
Watu wabaya kakuharibu wee sasa hivi kapata na tuhela anakutosa' pole sana..
 
Umeshamwagwa,kakwambia sio mpaka ufe naye unaomba ushauri wa nini?
 
Angalia ustaarabu mwingine, akufukuzae hakuambii toka
 
Fanya yako shost, jiamini, maisha yanawezekana bila yeye.
Mimi mwenyewe yalinisibu kama yako, mtu nimemvumilia weeee kaja kupata kazi akaanza kunionyesha vituko vya kila rangi. piga moyo konde fanya yako.
Pia usisahau kuomba Mungu akupe mwenye kheri na wewe.
 
Wapo wengi hao mamaa...ila ndo walivo wakipata vijipesa tu wanadharau wazaman....pole xana mpndwa...yalishanikuta ayo...I knw hw it feelz lol..
 
Piga chini mama S kakuchoka huyo na hizi sio zama za kupapatikia wanaume
 
Last edited by a moderator:
Piga chini mama S kakuchoka huyo na hizi sio zama za kupapatikia wanaume......!!!!!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom