tena kwa kasi na tunajidanganya kua tunaenda mbele..! manake kama tungekua tunaenda mbele yale mambo yaliyo achwa zamani tungekua tunayaendeleza kwa kasi zaidi lakini sasa hivi reli zimekufaa..! mahospitali ni majengo tu ila huduma ni duni kama vile hawahudumiwi watu utadhani ni sehemu za kuulia watu kumbe ni sehemu za watu kupata kupona yani kwa kweli Mungu atusaidie jamani....!