Ilikuwa ngumu kwa timu inayojengwa waendelee na project yao. Berkane ni mlima mrefu kwa Simba. Tusubiri robo fainali ya msimu ujao huenda wakakutana tenaSimba wangebeba kombe hili sijui tungeweka wapi sura zetu wengine huku
Umoja wa wachambuzi hapa jamiiforum (UWAJA) unasikitika na kutoa pole Kwa Simba kufuatia kukosa ubingwa ... though juhudi mbalimbali zilifanyika....ni hujuma tu
Hivyo basi....sisi kama umoja wa wachambuzi hapa jamiiforum (UWAJA)......tunatoa masaa 5 Kwa CAF kuwapa simba kombe Lao bila masharti.... otherwise something terrible gonna happen
Japo Simba tuna kombe letu la mtofyo( aluminum)[emoji23]View attachment 3346084
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Ingekuwa shida maana mazoezi ya kulipokea Kombe yalifanyika 😀 😀Simba wangebeba kombe hili sijui tungeweka wapi sura zetu wengine huku
In sha Allah.Ilikuwa ngumu kwa timu inayojengwa waendelee na project yao. Berkane ni mlima mrefu kwa Simba. Tusubiri robo fainali ya msimu ujao huenda wakakutana tena
Nchi ingekua hotSimba wangebeba kombe hili sijui tungeweka wapi sura zetu wengine huku
Refer: umoja wa wachambuzi hapa jamiiforum (UWAJA)Usiweke wingi
Sema umesikitika
Wanatafuta kichaka[emoji23]Waache kulakamika, refa hakua upande wowote.
[emoji125][emoji125]Nileteeni gwajima ndio habari kwa sasa
Kumbuka..... miujiza haiwezi vuka bahariSasa jamani yule nabii alie waombea imekuwaje anshindwa na nguvu za wanadamu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila bongo bwana baadala ya kuwekeza kwenye mambo ya msingi tunasubiri kuombewa.
Sasa kama haiwezi vuka bahari inawezaje vuka the universe
Unaamini concept ya multiverse??Sasa kama haiwezi vuka bahari inawezaje vuka the universe