Walioshiriki sina shida nao maana huenda hapo walipofikia ni juhudi zao binafsi. Wizara inayoandaa haya mashijdano na kupeleka wawakilishi na msafara ndio kamwe siwezi kusema wamejitahidi. Sio kweliiii. Hawa wakimbiaji huenda wameitwa kambini miezi mieili kujiandaa ili hali maandalizi sio miezi miwili. Ni zaidi.Nasema hivi walioenda kutuwakilisha wamejitahidi sana. Tena sana hata kama hawakupata medali.
Si kweli kwamba unaifahamu marathon, kwa sababu ungekuwa unaifahamu ungejua hata kama Simbu hakupata medali amejitahidi sana. Kumaliza tu ni accomplishment. Kumaliza kwenye top 10 ni world class accomplishment.
Wakulaumu siyo hawa walioshiriki, wakulaumu ni wenye mamlaka na michezo Tanzania.

Waziri mwenyewe yule mmhHalafu wizara kazi yao ni kuwapromote tu hawa wa matusi. Hawana muda kabisa na wanamichezo. Shwain.
Walioshiriki sina shida nao maana huenda hapo walipofikia ni juhudi zao binafsi. Wizara inayoandaa haya mashijdano na kupeleka wawakilishi na msafara ndio kamwe siwezi kusema wamejitahidi. Sio kweliiii. Hawa wakimbiaji huenda wameitwa kambini miezi mieili kujiandaa ili hali maandalizi sio miezi miwili. Ni zaidi.Nasema hivi walioenda kutuwakilisha wamejitahidi sana. Tena sana hata kama hawakupata medali.
Si kweli kwamba unaifahamu marathon, kwa sababu ungekuwa unaifahamu ungejua hata kama Simbu hakupata medali amejitahidi sana. Kumaliza tu ni accomplishment. Kumaliza kwenye top 10 ni world class accomplishment.
Wakulaumu siyo hawa walioshiriki, wakulaumu ni wenye mamlaka na michezo Tanzania.
Inasikitisha mno. Nchi nyingi zimepeleka wachezaji wengi.Mimi sina sababu ya kuwalaumu kina Simbu na wenzao kwa sababu kwanza wanajiandaa katika mazingira magumu sana.
Ila inasikitisha nchi kubwa kama hii inaepeleka wanamichezo watatu tu. Why ?
Nchi nyingine wanajiandaa kwa Olympic kwa miaka minne.Walioshiriki sina shida nao maana huenda hapo walipofikia ni juhudi zao binafsi. Wizara inayoandaa haya mashijdano na kupeleka wawakilishi na msafara ndio kamwe siwezi kusema wamejitahidi. Sio kweliiii. Hawa wakimbiaji huenda wameitwa kambini miezi mieili kujiandaa ili hali maandalizi sio miezi miwili. Ni zaidi.
Kazi yake kuhudhuria sherehe za uzinduzi tu. Hana mipango, hana vision, hana akili.Waziri mwenyewe yule mmh
Katibu mkuu wa wizara kazi yake imebaki kufanya censoring ya vyombo vya habari tu no vision yoyote inasikitisha sanaKazi yake kuhudhuria sherehe za uzinduzi tu. Hana mipango, hana vision, hana akili.
Sina mengi ya kuongea ila nakaribisha mawazo. Najua kwa wenye watoto wanapenda watoto wafanye vizuri katika fani mbalimbali kama michezo ikiwa ni pamoja na kupata nafasi (opportunities) za kimataifa kama UEFA, NBA, Olympics, World Championships, Etc. Lakini dalili za nyakati ni mbaya sana kwa nchi yetu. Hata tuliowategemea kama Hasheem Thabeet alishindwa. Mbwana ndio pekee kaweza katika nchi ya watu 60 million. Kenya wamegundua siri na wanafanya vizuri sana. Sisi hata Umiseta na Umishumta zilifutwa kwa kipindi fulani bila sababu maalum. Je kuna matumaini kweli ya Tz kuibuka kama nchi ya wachezaji wazuri wa kimataifa?
View attachment 1885110
View attachment 1885111
Inasikitisha mnoo. Wamengangana na vitu ambavyo haviwezi kamwe kutusogeza mbele.Katibu mkuu wa wizara kazi yake imebaki kufanya censoring ya vyombo vya habari tu no vision yoyote inasikitisha sana
Hawana namna uwezo wao ndiyo umeishia hapo ?Inasikitisha mnoo. Wamengangana na vitu ambavyo haviwezi kamwe kutusogeza mbele.
Najiuliza hivi hawakai hata siku moja kutafakari majukumu yao na ni namna gani wanaweza fanya ili tupige hatua? Wamebaki kutafuta ulaji tu.
Eti jamani! Hata handball?!Linchi la watu milioni 60 unaenda kwenye mashindano na washiriki watatu tena kwenye mchezo mmoja tu !!.
Tumeshindwa hata kuandaa timu ya Handball ?
Wengine hawana uwezo wa kujiongeza, na wengine ni wavivu. Wengine hawajali, na wanaona haiwahusu.Hawana namna uwezo wao ndiyo umeishia hapo ?
Kafanya vizuri sana hata kama hakupata medali.Wananishangaza wanaosema kafanya vizuri wakati lengo ni Medali.
Kushangilia nafasi ya saba ni kama taifa la waliokata tamaa.
Tatizo ni viongozi washibe, kwanza kabla ya wachezajiKama kuna Medali ambayo Taifa tunastahili basi ni Medali ya vipaji vya kuamini miujiza ya kuvuna tusichokipanda.
Kama tunavyofanya kwenye tozo, badala Mamlaka kuandaa kwanza Wananchi wenye uwezo wa kulipa 'tozo' wao wanaanza na tozo kwanza wakiahidi uwezo wa kulipa utakuja huko mbeleni.
Na ndio vivyo hivyo tunachokifanya hata kwenye maeneo mengine...nina imani bila ya shaka hata Waziri wa Michezo hawezi kubughuhiwa kwa maswali kwa kilichotokea kwani naye atahoji mbona inafanyika hivyo maeneo yote?.
Kama taifa tunaamini tukiendelea tu kushiriki Olympic zote basi kuna siku tutabahatisha Medali, na mpaka sasa tumeshakata miaka 41 tukitoka kapa, labda bado 100 mingine.
View attachment 1884913
Nasisitiza lengo kuu ni Medali.Kafanya vizuri sana hata kama hakupata medali.
Ameplay part yake na hata akifa leo ataacha legacy yakuwa one of the best marathon runners.
Kama una uchungu sana na medali kwa Tanzania ungeenda kushindana wewe.