Mkuu tuwapongeze simbu na failuna na gaiKama kuna Medali ambayo Taifa tunastahili basi ni Medali ya vipaji vya kuamini miujiza ya kuvuna tusichokipanda.
Kama tunavyofanya kwenye tozo, badala Mamlaka kuandaa kwanza Wananchi wenye uwezo wa kulipa 'tozo' wao wanaanza na tozo kwanza wakiahidi uwezo wa kulipa utakuja huko mbeleni.
Na ndio vivyo hivyo tunachokifanya hata kwenye maeneo mengine...nina imani bila ya shaka hata Waziri wa Michezo hawezi kubughuhiwa kwa maswali kwa kilichotokea kwani naye atahoji mbona inafanyika hivyo maeneo yote?.
Kama taifa tunaamini tukiendelea tu kushiriki Olympic zote basi kuna siku tutabahatisha Medali, na mpaka sasa tumeshakata miaka 41 tukitoka kapa, labda bado 100 mingine.
View attachment 1884913
Amejitahidi, lakini kwa nini tujivunie kuwa namba 7? Kwa nini tusiumie kukosa medali?Simbu kamaliza wa 7 hukoo
Tatizo hatupo siriazii kabisaa,kambi mbovu hawana vifaaAmejitahidi, lakini kwa nini tujivunie kuwa namba 7? Kwa nini tusiumie kukosa medali?
I agree kabisa. Na kuna vijana wenye nguvu na uwezo wa kupambana lakini kama mtu hata hela ya chakula inamsumbua na hapati sapoti hayo mengine je? Nchi za wenzetu wanatenga fungu kabisa.Tatizo hatupo siriazii kabisaa,kambi mbovu hawana vifaa
Michezo ni starehe inayoingizia vijana na mataifa madola in millions. Angalia west africa jinsi ilivyobadilisha nchi ikiwa ni pamoja na Nigeria, Ghana nk. Sisi population inakuwa kubwa tu ila tunabakia na diamond kwa nyimbo na Samatta, na Marehemu Mengi in business. Kwa idadi ya WaTz ilitakiwa kuwa na wawakilishi wengi duniani in sports, music, business, nk.Michezo ni starehe na starehe ni gharama. Uwekezaji kwenye michezo ni lazima,hakuna njia ya mkato kwenye kufanikiwa michezoni Kama pesa haitotumika
Nalog off
Ni aibu sana kwa kweli hayo mashirikisho ya michezo sijui yanafanya nini Kwa kweli! Tuendelee kusubiri ya kutokuwa na wawakilishi au kuwa nao wachache kwenye All African GamesMichezo ni starehe inayoingizia vijana na mataifa madola in millions. Angalia west africa jinsi ilivyobadilisha nchi ikiwa ni pamoja na Nigeria, Ghana nk. Sisi population inakuwa kubwa tu ila tunabakia na diamond kwa nyimbo na Samatta, na Marehemu Mengi in business. Kwa idadi ya WaTz ilitakiwa kuwa na wawakilishi wengi duniani in sports, music, business, nk.
Kwani Tanzania ilienda kushindana ?Sina mengi ya kuongea ila nakaribisha mawazo. Najua kwa wenye watoto wanapenda watoto wafanye vizuri katika fani mbalimbali kama michezo ikiwa ni pamoja na kupata nafasi (opportunities) za kimataifa kama UEFA...
Hajajitahidi acha kujidanganya. Ameahindwa. Wa nne nae kashindwa sembuse wa 7.Amejitahidi, lakini kwa nini tujivunie kuwa namba 7? Kwa nini tusiumie kukosa medali?
Hatuwezi jivunia USA. Mimi binafsi ni American green card holder na nimeishi USA for 20 years sasa lakini sio kwetu. Japo kiukweli watoto wangu nitahakiki hata kama wanazaliwa Tz, wanakulia USA na kupata opportunities nzuri za kubobea in sports nk.Chama langu usa kama kawaaaaa
Hajajitahidi acha kujidanganya. Ameahindwa. Wa nne nae kashindwa sembuse wa 7.Amejitahidi, lakini kwa nini tujivunie kuwa namba 7? Kwa nini tusiumie kukosa medali?
WaTz walienda matembezi au kuzamia kabisa??? Sababu ndio zetu hizoo ππKwani Tanzania ilienda kushindana ?