Kaka Manyerere nimeipenda hii.
Nimeshatoa sababu ya 7 hapo juu na sababu ya 8.CDM walikuwa wanaandikwa sana na vyombo vya habari kuliko vyama vingine...why..huwaii ..kwanini.Sababu ya 9.poliCCm hawakutumia mabomu ya machozi na kamatakamata kwa wafuasi na viongozi wa CDM!
Mimi naomba niwe shaidi wa magamba kwenye kesi namba 6........CDM ni wa kushtaki kabisa......wenzao waliwatukana kwa mdomo......kwa nini wasirudishe nao kwa mdomo.......kumtukana mwenzio kwa vitendo ni sawa na kuanika utupu wake hadharani.......hiyo haikubaliki hata rasimu ya katiba imesema.......matusi ya namna hiyo ni mabaya sana ni sawa na kunanihii kabisa kabisa......
Tena yananunuliwa sana wakati sisi tukiandikwa magazeti yanadoda..CHADEMA wanahonga waandishi waandikwe wao.
7.Wamesababisha haya kutokea kwa miguu michemba na wafuasi wa shetani.
Unauliza majibu?Kwanza ktk taratibu zinazoeleweka wewe ulitakiwa ujitambulishe kwanza hasa ukizingatia huyu jamaa kawasaidia kuandaa hoja za rufaa.Tehetehetehe nimeipenda hii.
Wewe umetumwa
Tena yananunuliwa sana wakati sisi tukiandikwa magazeti yanadoda..
Kuuliza si ujinga: HV hapa Mwigulu anapolia ni kwenye msiba wa waliopigwa mabomu Soweto au mwanachama wa Chama chetu adhimu cha Thithiem!?
Naona jamaa anampiga red card mkuu. Unaona wekundu wekundu apo?
View attachment 102380
Wanajamvi naomba kuuliza, wakati tunashughulikia haya mastaka....Je nyasi za msitu wa PANDE kwa ULIMBOKA zimeshakatwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa????????????????????????? Wale jamaa wakiamua hata maiti hazitaonekana.