Eng. Y. Bihagaze
JF-Expert Member
- Sep 8, 2011
- 1,487
- 913
"tunazo Sababu Za MSINGI SANA kukata RUFAA ya Matokeo ya Udiwani kata zote Nne Za Arusha , Tunazo Sababu hizi Za msingi kabisa
1:- KWANINI tume ya uchaguzi isimamie uchaguzi wakati polisi wetu wazuri walishasema wao watasimamia Na kutusaidia kuhesabu kura Kwa Sababu wao wana macho mazuri zaidi kuliko sisi..
2:- KWANINI Lema alipiga kampeni kipindi kile Cha kampeni ? lema ana USHAWISHI Mkubwa sana huku Arusha asingepaswa kupiga kampeni Yeye angetulia tuli nyumbani kwake.
3:- KWANINI mawakala wa chadema walikataa kwenda kula chakula tulichowanunulia?!?! .. Ni kukiuka misingi ya utamaduni wetu Wa kufadhiliana .
4:- kuna watu tuliwapatia Takrima kidogo tu Kama shukrani lakini Kwa sababu tusiyoijua wakala vyetu wakatutosa Kwenye box la kura? .. Huu SIO utu, utakulaje jasho la Mtu kisha umtose..
5:- Jeshi la polisi lilitangaza kwamba Hapana Mtu kushangilia USHINDI HUO, lakini kuna watu walikiuka amri hiyo wakashangilia hadi Usiku wa manane HII ni kuvunja amri ya Jeshi, walipaswa wakae Ndani mwao Kama msibani vile wao wakashangilia so ni kosa Hilo.
6:- kuna baadhi ya Waliokuwa VIONGOZI Wa BAVICHA ya CDM, walioasi huko, VIONGOZI hawa tumewaweka mstari Wa Mbele Kwenye Chama chetu wakieneza siasa Za Matusi Na uzandiki .. KWANINI Arusha hawakuelewa ?!??.."
CHEKSHIA Basi maushahidi nkhu-nkha-- TUNAZIIIDI KUYAPOKEA.. Chadema tutawakomesha zis yia KWANINI wawe Na kasi kiasi hiki ?
Nimeipenda sana hii naskia kuna mabomu mapya Jeshi letu liliyanunua Na yangetumika kuwanyuka Cdm sasa zoezi hilo halijufanyika so lazima uchaguzi urudiwe ili testing ya mabomu ifanyike Kwa KUWANYUKA CDM, Kama testing haitafanyika twaweza kuuziwa vitu feki Na Taifa letu likapoteza hela Nyingi sana .. Hamuoni hili?
..

.Mimi naomba niwe shaidi wa magamba kwenye kesi namba 6........CDM ni wa kushtaki kabisa......wenzao waliwatukana kwa mdomo......kwa nini wasirudishe nao kwa mdomo.......kumtukana mwenzio kwa vitendo ni sawa na kuanika utupu wake hadharani.......hiyo haikubaliki hata rasimu ya katiba imesema.......matusi ya namna hiyo ni mabaya sana ni sawa na kunanihii kabisa kabisa......
CHEKSHIA Basi maushahidi nkhu-nkha-- TUNAZIIIDI KUYAPOKEA.. Chadema tutawakomesha zis yia KWANINI wawe Na kasi kiasi hiki ?
..Nyongeza,
Mwekiti wa Tume alikiuka misingi ya utawala bora wa CCM kwa kuwakataza Mkuu wa Mkoa na RPC kusimamia uchaguzi
na kuwanyima haki ya kuzungukia vituo vya kupigia kura.
Chadema walikiuka misnging bora ya analogia kwa kutangazia umma wana vifaa vya kisasa vya kunasa matukio yote ya uchaguzi, hali iliyowaogopesha wasimamizi wa chama chetu cha mapinduzi kukosa mwanya wa kuiba kura.
tatu mawakala wa chadema walikataa kula pamoja na mawakala wa chama chetu na pia kukaataa kupokea takrima tuliyowaahidi kila mmoja kujengewa nyumba na kununuliwa gari, Hii imesababisha chama chetu kupoteza hela nyingi.
Mwisho chadema wamekiabisha sana chama chetu kwa kushinda kwa asilimia kubwa huku wakijua wazi
hili ni kosa kubwa sana wanatakiwa kulipa fidia kubwa..
TUnaiomba mahakama itengue ushindi wa chadema kwa vile haukuwa huru na haki,wagombea wao walikataa mwito halali wa kususia uchaguzi na pia tulitumia garama kubwa kwenda China kujifunza mbinu zote za kushinda na kuharibu uchaguzi.
Nimeipenda sana hii naskia kuna mabomu mapya Jeshi letu liliyanunua Na yangetumika kuwanyuka Cdm sasa zoezi hilo halijufanyika so lazima uchaguzi urudiwe ili testing ya mabomu ifanyike Kwa KUWANYUKA CDM, Kama testing haitafanyika twaweza kuuziwa vitu feki Na Taifa letu likapoteza hela Nyingi sana .. Hamuoni hili?
Kaka Manyerere nimeipenda hii.
Nimeshatoa sababu ya 7 hapo juu na
sababu ya 8.CDM walikuwa wanaandikwa sana na vyombo vya habari kuliko vyama vingine...why..huwaii ..kwanini.
Sababu ya 9.poliCCm hawakutumia mabomu ya machozi na kamatakamata kwa wafuasi na viongozi wa CDM!
..