Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,459 Reaction score 872,114 Mar 1, 2015 Thread starter #2
Tango73 JF-Expert Member Joined Dec 14, 2008 Posts 2,227 Reaction score 1,363 Mar 1, 2015 #3 naona gari linawaka moto, vipi tena!!!
Slim5 JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 28,440 Reaction score 38,438 Mar 1, 2015 #4 Ili uwe mfuasi wa chama hiki, lzm kujifyatua akili kwanza!
Gefu JF-Expert Member Joined Nov 30, 2010 Posts 6,929 Reaction score 2,567 Mar 1, 2015 #5 slim5 said: Ili uwe mfuasi wa chama hiki, lzm kujifyatua akili kwanza! Click to expand... ...chama gani mkuu maana hapo akili ndogo wapo kibaaaooo wanashindana na akili kubwa moja tu, em cheki ratio....
slim5 said: Ili uwe mfuasi wa chama hiki, lzm kujifyatua akili kwanza! Click to expand... ...chama gani mkuu maana hapo akili ndogo wapo kibaaaooo wanashindana na akili kubwa moja tu, em cheki ratio....
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,459 Reaction score 872,114 Mar 1, 2015 Thread starter #6 slim5 said: Ili uwe mfuasi wa chama hiki, lzm kujifyatua akili kwanza! Click to expand... View attachment 230767 ukichanganya vyote hivi kinachofuatia ni hikiView attachment 230768lakini pia unyama huenda mbali zaidi mpaka kufikia huku
slim5 said: Ili uwe mfuasi wa chama hiki, lzm kujifyatua akili kwanza! Click to expand... View attachment 230767 ukichanganya vyote hivi kinachofuatia ni hikiView attachment 230768lakini pia unyama huenda mbali zaidi mpaka kufikia huku
colours Member Joined Jan 4, 2015 Posts 70 Reaction score 14 Mar 1, 2015 #7 Ni kweli kabisa Mshana jr, vitu hivyo huleta matunda kama hayo
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,459 Reaction score 872,114 Mar 1, 2015 Thread starter #8 colours said: Ni kweli kabisa Mshana jr, vitu hivyo huleta matunda kama hayo Click to expand... Ndio mtaji wa sasa wa chama chawala huo kwa vijana wengi wanaowatuma kufanya uovu maeneo mengi wasiyokubalika nchini
colours said: Ni kweli kabisa Mshana jr, vitu hivyo huleta matunda kama hayo Click to expand... Ndio mtaji wa sasa wa chama chawala huo kwa vijana wengi wanaowatuma kufanya uovu maeneo mengi wasiyokubalika nchini