Tumesambaratishwa ukweni

Tumesambaratishwa ukweni

kweli wewe msaada wko ni kwenye gari ni JEKI
 
Last edited by a moderator:
Huna adabu kabisa unaita ndugu wa huyo mkeo eti vizee..umelaanikamsana wewe na kufitinika

mkuu nisharekebisha haya makosa ya kiuandishi.
 
Ndo waowaji wenyewe hao;
tena ningekuwa mimi mama mkwe
wangeipata fresh.

nimeipenda kauli mbiu yako ya, siyo wote wanaotangatanga wamepotea njia, wengine wamachinga, wanatanga na njia wapate ridhiki yao.
 
Akili hiyo ya kuchanganya wanayo?? Maana angalau waengekuwa nayo hata kidogo........
 
Hujaandika chochote cha maana ukaeleweka, sijui mila zenu, lakini mila za Kiislam.

Washenga wanapeleka posa siku hiyo hiyo amma wanakubakiwa amma wanaambiwa njooni siku fulani mchukuwe majibu. Wakifata majibu kama posa imekubaliwa wanaambiwa mahari ni kiasi fulani na wao hupanga siku ya kepeleka mahari, chezo umekwisha.

Sasa hilo la kusambaratishwa sijui, sijui hoja, kuna hoja zipi kwenye kuoana zaidi ya kupeleka posa, ikubaliwe au ikataliwe?

Halafu dunia ya sasa, si inakuwa wachumba wanajuana na wanayapanga mapema.
 
Mkuu kama we ndio ulikuwa mjenga hoja lazima msambaratishwe hata iweje
 
Hata uyo mwanamke wako ulieenda mtolea iyo mahar kala hasara
 
Hujaandika chochote cha maana ukaeleweka, sijui mila zenu, lakini mila za Kiislam.

Washenga wanapeleka posa siku hiyo hiyo amma wanakubakiwa amma wanaambiwa njooni siku fulani mchukuwe majibu. Wakifata majibu kama posa imekubaliwa wanaambiwa mahari ni kiasi fulani na wao hupanga siku ya kepeleka mahari, chezo umekwisha.

Sasa hilo la kusambaratishwa sijui, sijui hoja, kuna hoja zipi kwenye kuoana zaidi ya kupeleka posa, ikubaliwe au ikataliwe?

Halafu dunia ya sasa, si inakuwa wachumba wanajuana na wanayapanga mapema.

Na huo ndio utaratibu wa Kiafrica. Alichoandika mtoa mada ni utunzi ambao ni wa kitoto.
 
Another episode of your 'endless saga'...
 
3 million for what! Tabia mbaya kabisa kugeuza binadamu mitaji..
 
Back
Top Bottom