Tumepoteza Tunu ya kuaminiana (Tunahitaji Kuirudisha)

Tumepoteza Tunu ya kuaminiana (Tunahitaji Kuirudisha)

Logikos

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
17,572
Reaction score
27,314
Justice must not only be done, but it must also be seen to be done.”

Kuna mambo yamekuwa yakitokea na watu kurushiana shutuma kwamba ni huyu au yule amefanya.., Mbaya zaidi Kuna upande hawana Imani na Wachunguzaji (Vyombo Husika) kwahio Uchunguzi wowote utakaofanyika bado watu hawataridhika kwa kusema huenda fulani amesingiziwa au aliyeshikwa ndiye, sio.

Kwahio sababu Kuaminiana ni Muhimu sana Katika Ustawi wa Jamii ni muhimu tukarudisha imani hiyo hususan kwa taasisi ambazo zinatulinda.

Hivyo binafsi nashauri sababu watu Hawana Imani na pande zote kuhusu uchunguzi wa yanayotokea, ni Vema ikaja Taasisi ya uchunguzi either kutoka nje au iundwe TUME itakayojumuisha pande zote ambazo haziaminiani ili uchunguzi ufanyike na wenye hatia washikwe (no matter wanatokea upande gani Wasioamini au Wasioaminiwa) ili tukate huu mchicha kabla haujakuwa na kuwa Mbuyu sababu tutashindwa kuuhimili. (Hopefully Mchicha huo haujawa Mbuyu Tayari).
 
Waafrika haya masuala ya demokrasia sio jadi yetu. Tulilazimisha tu.
 
Waafrika haya masuala ya demokrasia sio jadi yetu. Tulilazimisha tu.
Mfumo wowote ule inabidi uaminiwe na wananchi (its a social contract) sasa kutokuwa na imani na mifumo / taasisi ni hatua moja kabla ya anarchy... tunapoelekea tunapotea ni bora tusimame au turudi nyuma na kutafuta njia...
 
Justice must not only be done, but it must also be seen to be done.”

Kuna mambo yamekuwa yakitokea na watu kurushiana shutuma kwamba ni huyu au yule amefanya.., Mbaya zaidi Kuna upande hawana Imani na Wachunguzaji (Vyombo Husika) kwahio Uchunguzi wowote utakaofanyika bado watu hawataridhika kwa kusema huenda fulani amesingiziwa au aliyeshikwa ndiye, sio.

Kwahio sababu Kuaminiana ni Muhimu sana Katika Ustawi wa Jamii ni muhimu tukarudisha imani hiyo hususan kwa taasisi ambazo zinatulinda.

Hivyo binafsi nashauri sababu watu Hawana Imani na pande zote kuhusu uchunguzi wa yanayotokea, ni Vema ikaja Taasisi ya uchunguzi either kutoka nje au iundwe TUME itakayojumuisha pande zote ambazo haziaminiani ili uchunguzi ufanyike na wenye hatia washikwe (no matter wanatokea upande gani Wasioamini au Wasioaminiwa) ili tukate huu mchicha kabla haujakuwa na kuwa Mbuyu sababu tutashindwa kuuhimili. (Hopefully Mchicha huo haujawa Mbuyu Tayari).
Hii ilikuwa setp.24 hii ni dec.25 na bahati nzuri msimu ulikuwa na mvua za kutosha hivyo ule mchicha wa 2024 sasa ni mbuyu wa 2025 zaidi zaidi 29 oct. to remember!
 
Hatukufuata utaratibu mpaka kua na hiyo demokrasia, ni kama tuliruka stage.
Katika jamii yenye population kubwa ya wananchi masikini na wasioelimika demokrasia sio njia sahihi kupata viongozi.

Poor and illiteracy society inahitaji dikteta wa aina ya Gadafi
 
Katika jamii yenye population kubwa ya wananchi masikini na wasioelimika demokrasia sio njia sahihi kupata viongozi.

Poor and illiteracy society inahitaji dikteta wa aina ya Gadafi
Hapa kuna point kuu tatu; Duniani hakuna pure democracy (power to the people) ila ni kama ndio target tunayojitahidi kuifikia; ila point kuu zaidi hata nguvu ya UMMA kweli kwa watu ambao hawajui wala kufuatilia wanachotaka pia ni recipe for disaster....; ndio maana kuna mdau alisema;
"The best argument against democracy is a five-minute conversation with the average voter"

Na Plato kwenye Republic alisema vyema zaidi....
Socrates, thought of voting as a skill that should be taught and learned. He invites us to imagine an election debate between two candidates, one less skilled- a sweet-shop owner and the other very skilled- a doctor. The sweet-shop owner would manipulate the audience saying: ‘this man is of no good; he works evil on you, hurts you, gives you bitter potions, and places restrictions on your eating and drinking. But I will serve you feasts of many and varied pleasant things’. How effective could the doctor respond? Intuitively, the true answer- ‘I cause you troubles and go against your desires to help you’ would cause uproar among the voters. To Socrates, those who should vote are those who have thought deeply and rationally about it. Plato draws from this when he argued that philosophers should vote otherwise, what Aristotle called mob-rule would ensue.
LAKINI main point ni Imani watu wakiamini kwenye mfumo basi wataridhika na mambo yatakwenda be it Ufalme au chochote kile..... hio ni basic hayo ya what works ni another argument...

HAKI ndiyo msingi wa Imani.
Watu huaminiana kwa kuwa mizani ya haki katika sheria inafanya kazi.
Hata kama hakuna Haki lakini wawe na sehemu ya kukimbilia tatizo pale pa kukimbilia pasipoaminika ni kutengeza anarchy..., after all hata hizi Sheria nyingi zilizopo sio necessarily kwamba zinatenda Haki (ila angalau watu wamekubaliana nazo) - Its a Social Contract.
 
Back
Top Bottom