Sijali
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 2,700
- 1,857
Tanzania ilipata fursa nzuri sana ya kuwa siyo tu tajiri bali pia kuimarisha maradufu hali za wananchi wake.
Fursa hii ilitokea kwa sababu ya madini adimu ya Tanzanite. Madini ambayo yalikuwa/yana thamani zaidi kuliko dhahabu. Kwa vile yanapatikana TZ tu tungeweza kuyafanya reserve yetu.
Kwa nini wanaoitwa wasomi wetu hawakuweza kuishauri serikali kuwa haya ni madini'strategic' yawe yamilikiwa na serikali tu. Kwa nini wana uchumi wetu hawakuweza kubuni mbinu ya kuambatanisha thamani ya fedha yeu na Tanzanite, kama ilivyokuwao dola imeambatanishwa na dhahabu.
(Kumbuka hizi noti tunazotumia sasa zilianza kama risiti iliyokuwa inatolewa kwa mtu aliyewekeza dhahabu yake kama rehani)
Hilo lingeifanya fedha yetu kuwa stable na yenye thamani, jambo ambalo lingesadia sana nguvu ya ununuzi ya Watanzania.
By now, tungekuwa tunazungumzia 'emerging middle income nation"