Tumepotelewa na mbunge wetu

Tumepotelewa na mbunge wetu

the people

Member
Joined
Oct 28, 2011
Posts
59
Reaction score
4
Jamani namtafta mbunge wang mh TELELE wa ngorongoro mweye taarifa atujuze kwan tangu tumpe chakula /ubunge hajawh kufka hapa kjj cha oldonyosambu kujua matatzo ya wapga kura wake wakiompa nafas ya kulipwa mshahara wa milion 11.2.naomben wanangorongoro waliopo humu jamvin mnijuze.
 
Atarudi kuja kuomba KULA July 2015 yupo MUJINI Dar na Dodoma anakula maraha ya kuwa mbunge na kukusanya data za mambo mbali mbali aliyofanya jimboni tangu mumchague October 2010.
 
Mkuu "The people nakupa pole kwa kupotelewa na mbunge wako , sisi huku pinyiny alipta mara ya mwsho wakat wa kura za maon hadi leo hakuja hata kusema asanten. Ningejua ningeshawish wamasai wenzangu tumpitishe mzee mmoja aliekua anagombea nae tena alikua mzee mzur sana anaitwa Pius Pongo huyu mzee ndye angefaa kwa nasikia anaupendo wa kwel kwa jamii zote kulko wenzanke. Hata hivo nasikia kuna kijana kutoka kabila la kisonjo tena ni mtoto wa huyo mzee pongo wanamsema kuwa anaweza kuongoza mchakamchaka wa 2015.
 
Namfahamu sana mzee PONGO kwa kweli angetufaa sana na kama kuna kijana wake naomba sana tumuunge mkono na je anakuja na magamba or nguvu ya umma (Peoplessss???????
 
nimeona picha yake kwenye google nmejaribu kuapload nimeshindwa ila kwa mwonekano haonekani kama sura ya kazi, nyie mlimpa mtu kwenda kupumzika
 
mmmmh TELELE hilo ni jina au dawa ya kienyeji pole sana tumejaribu kumtafuta kila kona hatumuoni mi nakushauri nenda kituo cha polisi ukatoe taarifa.
 
nimeona picha yake kwenye google nmejaribu kuapload nimeshindwa ila kwa mwonekano haonekani kama sura ya kazi, nyie mlimpa mtu kwenda kupumzika
Saning'o+Ole+Telele.PNG
 
Unatafutwa jimboni kwako banaaa ni aje!? Mbona umekuwa hivyo? Rudi jimboni ukaongee na wapiga kura wako uwaeleze sababu za kupotea kwako, huku ahadi zako zikiendelea kubaki ahadi.

kwa muonekano wa sura yake,sidhan kama ni wa kurudi tena,na hata 2015 sidhan kama atatokea tena. Now anaandaa mazingira mazur ya kustaafu.
 
Hahaha kweli mjini kidato. Kwa hiyo alienda kuomba kula, anatumbua mshahara daslamaa huku anakusanya data za mambo aliyofanya ngorongoro! Kweli dunia kijiji
Atarudi kuja kuomba KULA July 2015 yupo MUJINI Dar na Dodoma anakula maraha ya kuwa mbunge na kukusanya data za mambo mbali mbali aliyofanya jimboni tangu mumchague October 2010.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom