Tumepotelewa na mbunge wetu

Tumepotelewa na mbunge wetu

Si wa kwetu tunamuonaga kwenye tv na miwani yake nyeusi kama mchomea mageti hadi wananchi wanamuomba angalau amuache mke wake huku ili tupeleke matatizo kwa wife! Anaongoza wizara ya wale walopewa agizo la watufumue tu.
 
si huyo pekee yake, wabunge wengi mara baada ya uchaguzi huhamishia makao yao Dar na Dom, watarudi majimboni 2015 kuja kuomba kura huku wakija na t-shati, vintenge na kofia kuwahonga wapiga kura.Uzuri wa Watanzania hawakawii kusamehe na kusahau
 
Jamani namtafta mbunge wang mh TELELE wa ngorongoro mweye taarifa atujuze kwan tangu tumpe chakula /ubunge hajawh kufka hapa kjj cha oldonyosambu kujua matatzo ya wapga kura wake wakiompa nafas ya kulipwa mshahara wa milion 11.2.naomben wanangorongoro waliopo humu jamvin mnijuze.

Huyu mbunge mbona ana kesi nyingi sana na wapiga kura wake? mi nafikiri mngeamua kumuwekea Wanted akionekana tu apigwe mawe.

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...mbunge-wa-ngorongoro-saning-o-ole-telele.html
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Jamani namtafta mbunge wang mh TELELE wa ngorongoro mweye taarifa atujuze kwan tangu tumpe chakula /ubunge hajawh kufka hapa kjj cha oldonyosambu kujua matatzo ya wapga kura wake wakiompa nafas ya kulipwa mshahara wa milion 11.2.naomben wanangorongoro waliopo humu jamvin mnijuze.

wakwetu ni ZITTO, KAFULILA, MACHALI, MKOSAMALi_vijana wanapiga mzigo wa kitaifa zaidi, hata wasiporudi home_tuna imani nao, wazee tumepumzika, vijana wanapiga mzigo_kazi kwenye maeneo ambayo kila mtu anataka uongozi, kama ule mkoa ambao "band" ya mkoa ilishindwa kufanya kazi_kila mtu anataka akakae mlangon akusanye kiingilio, hata mpiga gitaa naye mlangon, kazi mnayo
 
Akishakusanya kiinua mgongo cha Ubunge anarudi jimboni na kofia, kanga, fulana na pia kuandaa ubwabwa kila wiki na kuwapa baadhi ya wapiga kura vijisenti wampigie debe mtaani na pia kuwanunulia mataptap mkija kustuka karudi tena mjengoni anapeta kwa raha zake na gharama zake za ubwabwa wa kila wiki hazifiki hata laki nne. Mshahara wake kwa mwezi million 11 hujaweka rupurupu, kiinua mgongo 45 million...Ubunge raha banaaa!!!....Best ni aje 2015? hutaki kujaribu kwenda mjengoni...campaign manager is yours truly LOL!!!! Please think about this once in a lifetime opportunity to be known as Mheshimiwa King'asti hahahahaha lol!!! 🙂🙂...tunakuchungulia kwenye luninga...ukitokea kwenye luninga tu jamaa wanashuka hapa kutangaza rasmi jamani Mheshimiwa wetu King'asti anaongea mjengoni mwangalieni 🙂🙂

Hahaha kweli mjini kidato. Kwa hiyo alienda kuomba kula, anatumbua mshahara daslamaa huku anakusanya data za mambo aliyofanya ngorongoro! Kweli dunia kijiji
 
Back
Top Bottom