Tumenusurika na ajali muda huu

Tumenusurika na ajali muda huu

Joined
Sep 29, 2018
Posts
45
Reaction score
18
Trafic wa kyela gari namba T 571 CGY linafanya safari za kyela boda nibovu kupitiliza kiasi na tumenusurika ajari mitaa ya kandete kwasababu gari inahama site yake kuingia site nyingine na lipo barabarani kila siku. Tulikua abiria tisa na dereva moja jumla kumi.
Baada ya kupigwa site mirrow tumelazimisha kushuka japo dereva alikua akilazimisha kuendelea na safari akidai atapunguza mwendo.

Muda huu gari tumeiacha kandete

Hii gari ikamatwe maana inamatatizo na mmiliki mnalazimisha kuiweka barabarani.

Tumenusurika ajari muda huu. Na ninafikiri ipo njiani inarudi kyela.

Mbaya zaidi dereva wa gari kampa dereva mwingine ko muda huu ndo anamrudishia gari.
 
Boss sina hizo namba mbaya zaidi magari yenye matatizo yapo mengi mengine hayana breki, pia hata kesho inawezekana likawepo njiani. Wahusika wataliona hili walifanyie kazi.
 
Maisha ni kitu cha muhimu sana kwa binadamu, ila kuna watu hawaoni umuhimu wa maisha hasa kwa tabia kama hizi za kuweka magari mabovu barabarani!!!!
 
Boss sina hizo namba mbaya zaidi magari yenye matatizo yapo mengi mengine hayana breki, pia hata kesho inawezekana likawepo njiani. Wahusika wataliona hili walifanyie kazi.
Mkiliona pangeni mawe makubwa barabarani, likisimama Tia
 
Back
Top Bottom