Noel france
JF-Expert Member
- Oct 8, 2012
- 998
- 736
- Thread starter
-
- #41
Upinzani bado upo tena imara sana kwa kila mwaka uchaguzi. Pia angalia kila mwaka wa uchaguzi wabunge wa upinzani wanaongezeka pamoja na nguvu kubwa serikali inayofanya kwa kuleta hila za uchaguzi.Upinzani ulisha kufa tangu 2015, Hatuna mpango wa kuifanya nchi shamba la bibi Kama ilivyokua fedha za Ruzuku za wabunge wa Chadema.
Nccr na vyama vingine vinamkaba na CCM katika harakati za kuwagawa wapinzani.sasa hapo aliye sirious ni yupi maana ukichukua cdm ndiyo usanii mtupu wa dj na lissu wake labda nccr ya mbatia
Njoo Dodoma. Unywe chaiBunge likivunjwa, nchi ikabidhiwe kwa Jaji Mkuu mpaka baada ya uchaguzi Rais atakapopatikana. Hii itawapa wagombea wote a fair game.
Kwanza atakwenda kubadilisha katiba, kama watu hawaamini wampe tena Jpm Huo urais,Kiukweli tukimpa hii mingine tutakuwa tumepotea. Atazidi kuwa dictator zaidi, pia wale wote tunaompinga na kumkosoa tutakula ban ama kupotezwa. Kama ilivyo tokea kwa ben saanane na wengine.
Mungu ibariki Tanzania na Watanzania ili tarehe 28/10 wasirudie makosa.
Mbona Jiwe kairudisha Tanzania miaka 50 nyuma? Mpaka vyombo vya habari vinaogopa kuripot habari za wapinzaniUongozi haujaribiwi. Kuipa nafasi saccos, ni kujirudisha nyuma miaka 50.
Ndiyo maana amelazimisha Ndugai kupita bila kupingwa,kwa dhumuni maalumu la kuhalalisha kubadilisha katiba.Kw
Kwanza atakwenda kubadilisha katiba, kama watu hawaamini wampe tena Jpm Huo urais,
Ukimsikiliza Tundu Lissu anaongea zaidi kwa huzuni kuliko hasira sio kama anavyofanya mpinzani wake meko.Kabla ya kuwapa nchi Chadema ili kujaribu,turejee kwanza ndani ya Chama chao,ofisi ya makao makuu ya chama chao yapoje,wao wenyewe viongozi wanatamaa ya kiasi gani mpaka wananunulika kirahisi,michango ya pesa za wabunge na ruzuku ya chama Mbowe kazisimamiaje n.k.
Hizi ni porojo tu,unataka pesa za ruzuku zitumike kujenga majengo bada ya kutoa elimu kwa watu kama wewe. Mbona mmekazania pesa ya ruzuku kama vile hakuna hoja za maana kwa masilai ya taifa.Kabla ya kuwapa nchi Chadema ili kujaribu,turejee kwanza ndani ya Chama chao,ofisi ya makao makuu ya chama chao yapoje,wao wenyewe viongozi wanatamaa ya kiasi gani mpaka wananunulika kirahisi,michango ya pesa za wabunge na ruzuku ya chama Mbowe kazisimamiaje n.k.
Dicteta uchwaraBinafsi kwangu inamtosha, tuwape wengine tuone. Sisi sote ni wamoja tuwape CHADEMA nao tuone.
Kuna watu wachache wanasema uongozi haujaribiwi! Miaka yote uwa tunawateuwa viongozi wetu kwa kuwa jaribu katika nafasi zao wanazotuomba tuwape kura.
Ndani ya vipindi vyao vya uongozi ndipo tunakuja kugundua ya kuwa awafit. Mfano mzuri kipindi cha miaka mitano ya uongozi wa mtukufu wetu.
Yeye ameshindwa kuongoza kwa kushindwa kutambua na kutofautisha kati ya uongozi na utendaji.
Uongozi Umekuwa kama udereva lazima wakutest kisha upatiwe leseni ya kuweza kuendesha abiri.
unaongea na nani jimama26?Jibu ni HAPANA
Maofisini ni vitisho kwa watumishi.Dicteta uchwara
Kwahiyo kuwakukumbusha Chadema chama kinachotaka kuchukua serikali wawe na ofisi makao makuu ya kueleweka ni porojo?Hizi ni porojo tu,unataka pesa za ruzuku zitumike kujenga majengo bada ya kutoa elimu kwa watu kama wewe. Mbona mmekazania pesa ya ruzuku kama vile hakuna hoja za maana kwa masilai ya taifa.
Kwani ccm inapokea ruzuku kiasi gani na je,imefanya nini zaidi ya kutumia hizo ruzuku kuwahada wananchi!
Yaani shillingi uicheze chooni kwa kuwapa saccos??Binafsi kwangu inamtosha, tuwape wengine tuone. Sisi sote ni wamoja tuwape CHADEMA nao tuone.
Kuna watu wachache wanasema uongozi haujaribiwi! Miaka yote uwa tunawateuwa viongozi wetu kwa kuwa jaribu katika nafasi zao wanazotuomba tuwape kura.
Ndani ya vipindi vyao vya uongozi ndipo tunakuja kugundua ya kuwa awafit. Mfano mzuri kipindi cha miaka mitano ya uongozi wa mtukufu wetu.
Yeye ameshindwa kuongoza kwa kushindwa kutambua na kutofautisha kati ya uongozi na utendaji.
Uongozi Umekuwa kama udereva lazima wakutest kisha upatiwe leseni ya kuweza kuendesha abiri.
Uongozi haujaribiwi. Kuipa nafasi saccos, ni kujirudisha nyuma miaka 50.
Kama unavyeti feki uachwe tu kazini,eti kwasababu ukitumbuliwa Lissu ataongea kwa huzuni?Ukimsikiliza Tundu Lissu anaongea zaidi kwa huzuni kuliko hasira sio kama anavyofanya mpinzani wake meko.
Tundu Lissu anaendelea KUSEMA Watanzania wamepoteza maisha yao na kazi zao:kutokana na rais ambaye hasemeleki hataki kukosolewa, analaumu wengine, anakataa ushirikiano na mpenda chuki.
Ni mbwa mwitu aliyejivika ngozi ya konddooo. Watanzania tusiingie kwenye mkenge tena.Binafsi kwangu inamtosha, tuwape wengine tuone. Sisi sote ni wamoja tuwape CHADEMA nao tuone.