swagazetu
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 4,253
- 1,475
Nimekuwa fb na jf sasa naona uwezo wa watanzania umefika ukomo japo si wote.ukiangalia mijadala mingi haijibiwi kwa hoja ila kwa ushabiki na uchama.hatufikiri tena,hatina mda wa kuhoji wala hatutaki kujua tena ukweli ila kama uongo unahusu upande usiokugusa unashabikia,ukweli unaokugusa unageuka kuwa muongo.tumefika pabaya.Huu si ushabiki ni ujinga.
Mfano:mada ikihusu ufisadi wa viongozi ukisapoti wewe ni chadem!
Mada ikikosoa viongozi wa chadema ukisapoti hata kama ni kweli unaitwa ccm tena lumumba au buk7 !!
Mada ikimsifia dr slaa hata kama anastahili kwa hilo jambo wanataka utukane ili usiitwe Lumumba au ccm.
mada ikiwa inamsifia jk unatakiwa uponde sana kuepuka kuitwa chadem!
Ndugu zangu watanzania huu ni ushabiki au ni UJINGA!
Tuzinduke.penye ukweli tuseme.ccm juuuuuu!