Tumekubali kuharibu kwa ajili ya kumlinda mtu mmoja?

Equitable

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2021
Posts
2,124
Reaction score
5,697
Ni kweli jeshi limekubali hali hii? Lockdown siku 1.5 plus kwa ajili ya kumlinda Samuya na Kiwete?

Mahitaji ya vijana yajulikana ni matatizo ya nchi pia.

1. Wanahitaji katiba mpya ili waweze kuchagua viongozi wanaowataka. Kukowa na tume huru ya uchaguzi mambo yanakwisha.
2. Upendeleo kazini usiwepo
3. Somewhat utekaji
4. Mitandao ya kijamii isifungwe mfano Jamiiforums na X. Humu vijana wanafanya biashara na kujikimu.

Naamini hakuna Gen Z anayetaka madaraka.

Nashauri

1. Uchaguzi Ufutwe
2.Kuundwe serikali ya epitome hata two years
3. Serikali ya mpito itengeneze katiba na sheria zingine kuendana na mazingira.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Reactions: vnn
Kinacholeta maudhi zaidi ni kile kitendo cha kumlinda mtu mmoja ambaye ni mgeni kutoka nchi jirani, na asiye na mapenzi na nyinyi! Yaani mtu ambaye yupo kwa ajili tu ya kufanikisha malengo yake yeye na watu wake wa karibu!! Huu ni ujinga wa kujitakia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…