Tumeipotezea Taifa Stars kiaina au?

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Jan 1, 2017
20,714
45,103
Leo Taifa Stars anacheza na Malawi saa 10:00 jioni katika dimba la Mkapa.

Kiingilio 2000 kwa 5000 tu lakini mchezo huu haujapewa promo kabisa, ndio tuko bize na Euro au Uchaguzi wa TFF?
 
Leo Taifa Stars anacheza na Malawi saa 10:00 jioni katika dimba la Mkapa.

Kiingilio 2000 kwa 5000 tu lakini mchezo huu haujapewa promo kabisa, ndio tuko bize na Euro au Uchaguzi wa TFF?
Mkuu, nilikuwa naangalia EURO lakini baada ya kuisoma hii imebidi nije kijiwe changu kuiona mechi hii.
Tatizo naliona wengi wetu tumezolewa na Ukenyakenya na Uinglandingland hivi.
Mie nchi za kusini ya nchi yetu naziheshimu mno kwa nyanja zote tu. Wametuzidi hawa jamaa.
Wito wangu tujielekeze huko tunaweza piga hatua kuliko kukumbatia Ukenya.
 
Back
Top Bottom