Tumeingia 2018,Tanzania haina dira bado.

My Son drink water

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Posts
4,930
Reaction score
13,333
Ni unafiki tu ndo umetawala ndani ya taifa hili, kila mtu anaogopa kusema ukweli, na anayethubutu atashugulikiwa na watu wasiojulikana.
Ni Kakobe mtumishi wa kweli wa Mungu ndo kathubutu, huku Tundu Lissu akiugua kwa kuchakazwa kwa risasi.
Demokrasia imezikwa, uhuru wa habari umezikwa, kupotea, kufungwa na kuuawa ndo jadi imekuwa.
Mungu hawezi kubariki taifa la wanafiki Kama Tanzania, nasema hawezi kubariki kwa sababu Mungu si mwanadamu anayekumbatia Unafiki.
Uko wapi Ben Saanane? Ulipotea kwa sababu ya kukosoa?
Uko wapi Azori? Na wewe umepotea kwa ya uandishi wako?
Tundu Lissu na wewe kosa lako lilikuwa nini?
Hakuna baraka kwa taifa linalomwaga damu zisizo na hatia.
 
Naomba kujua tu uhuru wa habari gani. Hapa ujinga wako nani kakuzuia. Press conference ngapi mnaita kwa mwezi. JF mmeiteka. Hata Leo makanisa uchwara. Sasa unataka uhuru es kuvuliwa chupi
 
Ni
Ni unafiki tu ndo umetawala ndani ya taifa hili, kila mtu anaogopa kusema ukweli, na anayethubutu atashugulikiwa na watu wasiojulikana.
Ni Kakobe mtumishi wa kweli wa Mungu ndo kathubutu, huku Tundu Lissu akiugua kwa kuchakazwa kwa risasi.
Demokrasia imezikwa, uhuru wa habari umezikwa, kupotea, kufungwa na kuuawa ndo jadi imekuwa.
Mungu hawezi kubariki taifa la wanafiki Kama Tanzania, nasema hawezi kubariki kwa sababu Mungu si mwanadamu anayekumbatia Unafiki.
Uko wapi Ben Saanane? Ulipotea kwa sababu ya kukosoa?
Uko wapi Azori? Na wewe umepotea kwa ya uandishi wako?
Tundu Lissu na wewe kosa lako lilikuwa nini?
Hakuna baraka kwa taifa linalomwaga damu zisizo na hatia.
Ni wewe tu hutabarikiwa tena ukose hata hela ya kununua chumvi . TunaliombeaTaifa letu lineemeke kwa ujazo mara dufu 2018
 
Mwaka huu wakuu nimeamua sasa niuishi kwa vitendo ule msemo wa "pambana na hali yako"...kuanzia kesho kutwa nitapambana na hali yangu no matter what,maana kusema nipige kelele kuokoa wengi tena haiwezekani sasa nikuangalia yangu tu.
 
Anasema tuchape kazi, lakini ajira hatoi wala hatengenezi.
 
Dereva wa lori ana frastreshen unategemea nini zaidi ya majanga tu?!
 
Ni unafiki tu ndo umetawala ndani ya taifa hili, kila mtu anaogopa kusema ukweli, na anayethubutu atashugulikiwa na watu wasiojulikana.
Ni Kakobe mtumishi wa kweli wa Mungu ndo kathubutu, huku Tundu Lissu akiugua kwa kuchakazwa kwa risasi.
Demokrasia imezikwa, uhuru wa habari umezikwa, kupotea, kufungwa na kuuawa ndo jadi imekuwa.
Mungu hawezi kubariki taifa la wanafiki Kama Tanzania, nasema hawezi kubariki kwa sababu Mungu si mwanadamu anayekumbatia Unafiki.
Uko wapi Ben Saanane? Ulipotea kwa sababu ya kukosoa?
Uko wapi Azori? Na wewe umepotea kwa ya uandishi wako?
Tundu Lissu na wewe kosa lako lilikuwa nini?
Hakuna baraka kwa taifa linalomwaga damu zisizo na hatia.
Hilo dira mbona linapatikana ufipa, hujaliona bado?
 
Heading ya thread yako haiendani na ujumbe ulioutoa. Inabidi uongeze juhudi kuoanisha heading na ujumbe unaotaka kuutoa viendane.
Pili naona unaukakasi wa kutoelewa maana ya dira. Neno dira kwa kimombo tunaita vision. Ukisema tanzania hatuna dira tunakuona kama akili yako huishughulishi kabisa na elimu yako inamashaka. Vijana wengi mmeingia siasa bila kujua taifa limetoka wapi, liko wapi na tunataka kufika wapi. Tanzania ina dira; inaitwa national vision 2025. Sasa kama hujui maana ya dira tambua nilivyo kuambia. Unaweza ukagoogle uelewe national vision 2025 inazungumzia nini ukaachana na hizi drama.
 
Dira ipo
Uchumi unakua kwa kasi ya ajabu

7.7% - 5.8%

Ukipata zuzu lako la kulidangaya unapeta tu
 
Ni

Ni wewe tu hutabarikiwa tena ukose hata hela ya kununua chumvi . TunaliombeaTaifa letu lineemeke kwa ujazo mara dufu 2018
Unajua kipato changu wewe mbwiga? Shukuru tu kwamba tunaficha ID zetu kwa usalama, ningekuonyesha uchumi wangu ili uheshimu watu wote, na sitafirisika hadi kufa.
 
Back
Top Bottom