Well said mkuuTatizo kubwa naloliona hapo ni gharama lakini mfumo wa tiba wa nchi yetu haujakaa sawa. Hapo unapigia hesabu za nenda rudi kama miezi sita hivi, rushwa na bado gharama ya tiba yenyewe!!
Hicho ndicho kinaondoa utu kwa watu, sidhani kama mtu angekuwa na hofu kama tiba zetu zingekuwa straight!! Angejulisha wazazi na kutoa msaada tuu
Umeongea point kubwa sana mkuu,mfumo wa matibabu wa nchi yetu haujakaa sawa.Tatizo kubwa naloliona hapo ni gharama lakini mfumo wa tiba wa nchi yetu haujakaa sawa. Hapo unapigia hesabu za nenda rudi kama miezi sita hivi, rushwa na bado gharama ya tiba yenyewe!!
Hicho ndicho kinaondoa utu kwa watu, sidhani kama mtu angekuwa na hofu kama tiba zetu zingekuwa straight!! Angejulisha wazazi na kutoa msaada tuu
Shost alipata msichana wa kazi kutoka mikoani. Ni binti aliyetoka kwenye familia yenye hali ngumu mno kimaisha. Akiwa na miaka 14, baada ya kumaliza darasa la saba, wazazi wamemtoa aende Darisalama akafanye kazi kwa makubaliano ya kupelekewa nusu ya ujira wake kila mwisho wa mwezi.
Binti huyu kazi za kawaida za kufua na kupiga deki zilionekana kumshinda. Mwajiri wake aliona ni kheri ampeleke hospitali kwa uchunguzi. Amefika kule baada ya vipimo vyote iimegundulika kuwa binti ana moyo mkubwa.
Mwajiri ameamua kumrudisha kijijini kwani hawezi gharama za kumtibu na anaogopa asife mikononi mwake. Kweli tumekosa utu namba hii?
Niletee Mimi huyo Mgonjwa mwenye Moyo mkubwa nipate kumtibu kwa dawa zangu za asili ili apate kupona.Shost alipata msichana wa kazi kutoka mikoani. Ni binti aliyetoka kwenye familia yenye hali ngumu mno kimaisha. Akiwa na miaka 14, baada ya kumaliza darasa la saba, wazazi wamemtoa aende Darisalama akafanye kazi kwa makubaliano ya kupelekewa nusu ya ujira wake kila mwisho wa mwezi.
Binti huyu kazi za kawaida za kufua na kupiga deki zilionekana kumshinda. Mwajiri wake aliona ni kheri ampeleke hospitali kwa uchunguzi. Amefika kule baada ya vipimo vyote iimegundulika kuwa binti ana moyo mkubwa.
Mwajiri ameamua kumrudisha kijijini kwani hawezi gharama za kumtibu na anaogopa asife mikononi mwake. Kweli tumekosa utu namba hii?
hivi moyo mkubwa unatibika na kurudi ktk hali ya kawaida (normal size) au tiba inaenda kuufanya moyo uendane na size ya mwili na umri wa muhusika ktk kusukuma damu?Niletee Mimi huyo Mgonjwa mwenye Moyo mkubwa nipate kumtibu kwa dawa zangu za asili ili apate kupona.
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Herbalist MziziMkavu
Dawa inatibu Moyo ulio kuwa mkubwa kurudi katika hali yake ya kawaida.hivi moyo mkubwa unatibika na kurudi ktk hali ya kawaida (normal size) au tiba inaenda kuufanya moyo uendane na size ya mwili na umri wa muhusika ktk kusukuma damu?
Dawa za kansa za matiti zipo?Niletee Mimi huyo Mgonjwa mwenye Moyo mkubwa nipate kumtibu kwa dawa zangu za asili ili apate kupona.