Kyenyabasa
JF-Expert Member
- Mar 8, 2023
- 245
- 721
Upo sahihi sana mzee w Kyanyabasa.Kaka Lema hii ngoma unayopiga imefika mpaka Ndani walipofugia misukule( wtz) endelea kuipiga hiyo ngoma kwa ustadi zaidi ili wafuga misukule ( viongozi waovu) waamke na kutubu.
Haiwezekani tufikirishwe vitu vidogo vidogo.
Haiwezekani eti bodaboda ni ajira wakati hainihakikishii maisha marefu na mazuri baada ya kuacha kuifanya.
Haiwezekani Vikoba ikawa njia ya kumkwamua mtu,,akina mama wananuka madeni,,unampaje mtu kamkopo ka kununulia chupi alafu akienda kukafanyia biashara nayo anakutana na soko lisilotabirika anaishia kukonda kwa madeni na umaskini.
Haiwezekani mwl,Askari na wengine wengi walipwe Tsh 400,000
Haiwezekani akina mama wajifungulie chini alafu tuchekelee.
Haiwezekani wagonjwa watukanwe Kama mbwa mbwa alafu tumuone Lema mbaya.
Haiwezekani mafisadi yajilipe mamilion ya fedha kwenye tenda alafu tukae kimya.
Haiwezekani Rais atembeee na msafara wa magari 200 alafu hakuna kinachobadilika.
Haiwezekani kivuli cha rais kifunike kila mahali nchi hii,,tunahitaji mamlaka yetu wananchi,,hatutaki ma dc,rc,ras na ma das ni ujinga mtupu tunahitaji viongozi watoke baina yetu.
Wafuga misukule endelea kufukiza dawa misukule isitoke nje,,ikitoka mmekwisha.
Lema Kaka umekuja na upako mzito ebu endelea kuuelewesha umma hata kwa gharama ya kukosa kura.
Jamaa anadhani walimu, kwa mfano, wakilipwa milioni 5 ndio maisha yatakua sawa. Uchumi una mambo yake. Ukilipa kima cha chini milioni 5, elewa sokoni watu wataenda na magari ya hela kufanya shopping.walimu wanalipwa 800,000/-
hakuna mshara chini ya laki sita, wewe unaongelea 1990 huko
Jamaa anadhani walimu, kwa mfano, wakilipwa milioni 5 ndio maisha yatakua sawa. Uchumi una mambo yake. Ukilipa kima cha chini milioni 5, elewa sokoni watu wataenda na magari ya hela kufanya shopping.
Fungu la nyanya tatu utanunua kwa 20,000.
Kwenye uchumi, lazima pawepo na balancing act. Huwezi kupandisha mishahara kwa ajili ya kupandisha mishahara, kwani gharama zitapanda kwa kiwango kikubwa, na hivyo kudidimia kwa ubora wa maisha.
Kwa sababu, unapoongeza mishahara, cost za uzalishaji zinakuwa juu kwa waajiri. Wao hawafanyi biashara ya huduma, wanataka faida.
Kwa hivyo, watapandisha bei ya vitu, mfano mbolea, sukari, na kila kitu kitapanda bei. Hivyo hela bado haitatosha na sasa watu watataka kima cha chini kiwe bilioni moja, bado mzunguko utarudi palepale. HAZITATOSHA. 😂😂🙆
Haya majitu yamerogwa kabisa hawana hata huruma kwa watumishi wa umma.Huu labda uchumi wa Zimbabwe
hii elimu unampa ataweza kuelewa?Jamaa anadhani walimu kwa mfano wakilipwa milioni 5 ndo maisha yatakaa sawa, uchumi una mambo yake,, ukilipa kima cha chini milioni 5,, elewa sokoni watu wataenda na matoroli ya hela kufanya shopping...
Upo sahihi sana mzee w Kyanyabasa.
Wale wote wanaomshambulia mh Lema ni wale wanaonufaika na mfumo uliopo wa utawala...
Ukute hauna hata uhakika wa kupata milo miwili iliyo kamilika kwa siku.Jamaa anadhani walimu kwa mfano wakilipwa milioni 5 ndo maisha yatakaa sawa,, uchumi una mambo yake,, ukilipa kima cha chini milioni 5...
Kwahiyo wewe 800k unaona ni bonge la mshahara?hii elimu unampa ataweza kuelewa?
Kuna walimu wa Halmashauri na kuna wa TAMISEM...
Utakataa kwa sababu za kisiasa, lakini hizo ndio principal za kiuchumi,, unapopandisha mishahara ya watumishi,, cost lazima zipande, serikali haiwezi kuajiri watu zaidi ya milioni.Haya majitu yamerogwa kabisa hawana hata huruma kwa watumishi wa umma.
Mama yangu anafagia barabara analipwa 150,000/- kwa mwezi.Kwahiyo wewe 800k unaona ni bonge la mshahara?
Kweli maisha ni kuchagua.
Hata laki 8 siyo hela. Mbunge analipwa laki 3 kwa kutwa.walimu wanalipwa 800,000/-
hakuna mshara chini ya laki sita, wewe unaongelea 1990 huko
Yaani nimwonee huruma mfanyakazi , mie mkulima kumuonea huruma mfanyakazi is a stupidity of a highest order😁Haya majitu yamerogwa kabisa hawana hata huruma kwa watumishi wa umma.
Hao mazombie wapo makusudi kuitetea ccm hapa jamvini.Hata laki 8 siyo hela. Mbunge wnalipwa laki 3 kwa kutwa.
Mleta mada asibezwe.
Utakataa kwa sababu za kisiasa, lakini hizo ndio principal za kiuchumi,, unapopandisha mishahara ya watumishi,, cost lazima zipande, serikali haiwezi kuajiri watu zaidi ya milioni,
Katika watanzania milioni 30,, it means milioni 29 itabidi waingie private sector, au kujiajiri kwa sector zisizo rasmi ikiwemo bodaboda, mamantilie, etc.
Lema yeye anadhani serikali inawezs kuwapa kazi watu milioni 30,na iwalipe kima cha chini milioni 5,, [emoji1745]
Ona aibu wadogo zangu nimewatftia mwenyewe kazi anayenza kazi na certificate ya ualimu analipwa tsh 540,000/ kabla hajakatwa akikatwa anabaki na 476000 Kama sijakosea kdg,,,huo ndo mshahara wa kumpa mtu?walimu wanalipwa 800,000/-
hakuna mshara chini ya laki sita, wewe unaongelea 1990 huko
Ajue wapi huyo kada uchwara wa ccm.Acha uchumi uchwara, kwenye uchumi hakuna lazima kuna kitu kinaitwa ceteris paribus.