Tumefanya oral interview ya Viettel Tanzania Company

400k ndio kiasi gani? Au k ni symbol ya pesa fulani ya kigeni? Samahani kwa kuuliza.
 
Wadau tayari Oral Interview tumefanya ya Viettel,Jamaa lakini wapo makini

tuambie maswali 3 tu uliyoulizwa na ulivyo jibu ili tuone kama chances ya kushinda kubwa au la,,, by the way Allah ndo mwajiri
 
Hivi hizo ajira walizotangaza ni mpya au inakuaje?manake nimeona na kama sijakosea deadline ni mwezi wa tisa,sasa sijalewa kuwa ni mpya au ndo watu wanataka kuwageresha wengine hapa
Vp any Feedback kwa yule aliyekuwepo kwenye oral interview ya hawa jamaa.. au Bado?
 
Hawa jamaa wanarecruit tena so kama mtu niliitwa kwa interview yao bt hawajanipa feedback yoyote naweza apply tena wadau?
 
Back
Top Bottom