Mleta uzi me sijakuelewa labda urudie tena Mada yako
Mleta uzi me sijakuelewa labda urudie tena Mada yako
Kinachoni ogofya ni hii roho ya kisiasa ambayo naamini anataka kuipandikiza nchini, itafika pahala mwana CCM kuhudhulia msiba wa mwana CUF au Chadema itaonekana ni kama usaliti, baadhi ya indicators ni kama hizi zinazoanza kujionyesha kwa mfano Lema akiwa mahabusu wana CCM kwenda kumjulia hali inasemekana mkuu hakupenda, au watu wakiandamana kumpongeza Rais kwa kazi nzuri anazofanya, basi Intelligensia yetu haigundui hatari yeyote lakini Wapinzani kukaa kufanya kazi zao za Kisiasa ni dhambi. Unajua ni kwanini naogopa sana? Naogopa kwasababu kuna habari kwamba paka ukimfungia chumbani ukaanza kumuadhibu bila kumpa upenyo wa kujiokoa usipokua makini anaweza kukuua vibaya.......
ANAKOTUPELEKA.
Kwa mnasaba wa maelezo hapo juu, Tanzania sasa inaelekea kwenye visasi vya ubaguzi na kukomoana, kukosa uvumilivu miongoni mwa watanzania na kukosa umoja wa dhati. Huku ndiko tunakoelekea.
Mleta uzi me sijakuelewa labda urudie tena Mada yako
Tanzania ya leo si moja tena, tuna Watanzania Watanganyika na Watanzania Watanzania.... watu wanapata kiki kwa kulenga watu/kundi na si mfumo, na Watanzania wanaojaribu kuaminishwa na kundi flani kwamba wao ndo hasa Watanzania ndo wale wanaowapa kiki na maandamano ya kuunga mguu (sijui mkono )viongizo wao. na ukiwa na mawazo mbadala wewe ni zaidi ya SHETANI Tanzanaia... Watanganyika Watanzania ndo wenye mawazo ya kuhoji tunapoenda.
wale naojiona Watanzania wa kweli kutotaka kuhoji, kumbukeni Pongezi, ushabiki na sifa kwa viongozi wao zipo jikoni..... zikiiva mzinywe...