kidaganda
JF-Expert Member
- Aug 26, 2013
- 2,997
- 2,577
Hakuna kitu kinauma kama kufungwa match mfululizo Huyu jamaa kachoka atupishe...Yaani Bado kidogo tu tunapiga kama Ruvu na Simba Jana.
Chonde chonde Kwa mashabiki wote wa Arsenal5 duniani Tuseme imetosha..
Wenzatu Chelsea man city na united wao kila siku ni furaha sisi ni vilio tu..Hapana tumekuchoka Wenger.
Imetosha Sasa ...
Chonde chonde Kwa mashabiki wote wa Arsenal5 duniani Tuseme imetosha..
Wenzatu Chelsea man city na united wao kila siku ni furaha sisi ni vilio tu..Hapana tumekuchoka Wenger.
Imetosha Sasa ...