Io itakuwa poa sn !!!Tena itungwe sheria kali juu ya hilo, kwa sababu imekua ni kama tabia sasa na unawaumiza na kuwaonea wanaume
Ni kwa sababu hakuna sheria inayombana, ikiwekwa sheria kesi za namna hii zitapunguaIo itakuwa poa sn !!!
Yaan mm huwa hata sielewag yaan mtu anakubambikizia kesi kubwa km io miaka 30 kifungpn afu unashinda keai kisha mahakama inamuachia tu aende eti kisha ni mwanamke na ana mtoto
Ashtakiwe!!Habari wadau,
Nimepokea kwa masikiriko taarifa za diwani wa chadema pale Hai kuachiwa huru baada ya kubambikiwa kesi amebaka na amempa mimba msichana sasa toto limezaliwa DNA sio zake jamaa kashinda kesi kilaini kabisa; sasa najiuliza upande wa pili wa shiling kwanini wanawake watumike kisiasa namba hii.
Mimi ushauri wangu huyo msichana na genge lake lilioshiriki kuyengeneza io kesi washatakiwe na walipe fidia ili ipunguze haya matukio
Wanaume haki zetu zinabinywa tuamke shwain.
Wapo tena wapo weng ila tatizo lao moja wapo busy kulinda brand zao kuliko kufuatilia social issuesHivi humu Jfm hakuna viongozi ambao wapo serikalin ambao wabaona nyuzi za malalamiko kuilalamikia mambo mbali mbali.