Wanaoandamana ni watu wasio na akili na wasiotumia kichwa kufikiri. Kwani mnapoandamana kuna suluhu yoyote inapatikana? Sanasana mtaishia kupigwa mabomu na marunguusipotambua umuhimu wa maandamano utarazimika urudi shule.Maandamano yana umuhimu sana kuliko unavyofikiri na kuwaza.Nchi zenye demokrasia wanatambua umuhimu wake.watu wengi wanatoa majibu mepesi mno kuliko ukweli wenyewe.Niulize,wewe umekwenda kutoa maoni then maoni yako si chochote,hivyo wanaamua kuyazika na kutengeneza ya kwao.TUWAZE NA KUFIKIRI ZAIDI.
Wananchi wanawakilishwa vema na CCM. Wapinzani ni mawakala wa shetani tuHizo ni fikra mgando,kama kweli unataka katiba sahihi yenye kutufikisha 50yrs later hatuna budi kuzingatia maoni ya wananchi.vinginevyo tunaweza kutengeneza katiba ya upande mmoja then baadae ikawa moto au shubili.
Josephine hajaamka wanamuogesha Junior kwanza, ngoja wamalize watakuja full chaarged hapa.Wapenda mandamano njooni msome uzi huu yericko,ben saaanane na wengine wenye mawazo ya kuandamana na kufanya fujo.
Compromise ipo bungeni.rudini mkamalizie wajibu wenu mliotumwa.
Wananchi wanawakilishwa vema na CCM. Wapinzani ni mawakala wa shetani tu
Husiseme ''Tumeshoka" sema "umechoka".Tumekusikia umeotoa maoni yako!
Hata pesa zilitumika kuratibu bunge maalum la katiba+posho walizo kula mpaka siku ile walipotoka nje, nazo ni mali za uma. Au kama ni waadilifu watuambie kama watazirudisha au.
Tumechoka kuandamanishwa na wahuni,tumechokaaaaaaaaaaa
warudi bungeni ndiko katika inapojadiliwa,
posho wale wao,
sie tuandamane
Kwanza naomba mnielewe maandamano ni haki ya kisheria na sina mashaka na hilo.
Lakini inavyooneka suala la katiba limesha nunuliwa na wanasiasa.
Na kwavile wanasiasa hawaaminiki(rejea kauli ya ZITTO)
yawezekana wakawa waongo,walaghai,walubuni au waponzaji.
Tunaomba warudi mezani au kama wanataka kuandamana,basi waende wao na familia zao .
Tumeshaandamana sana lakini linapoku suala la chai ya magogoni tunajikuta tumerudi kulekule alikosema ZITTO.
Tulia dawa iingie (by H.KIGWANGALA)