We nenda tu,Tumebakiza masaa machache kuelekea barabarani! Nimejiandaa vya kutosha
Maandamano yalopita nilikua na cycle yangu ya watu watano, now tupo watu 17 tunaoaminiana na kila mmoja ashaandaa bango.
Kesho nitatoka kuandamana kama nilivyotoka Tarehe 29 hatuwezi kufika hatua nchi inachezewa kiasi hiki
D9 tunatoka
Tukutane kesho!!
Jichanganye utaua mmoja the rest ni story ..ingependeza uache wosia kabisa hili kaka yako yule Teja asisumbue wanao kwenye mirathiKesho lazima NITEMBEE na Glock yangu ili Nile sahani Moja na hawa WAHUNI wa kuandamana.Toka wanivunjie duka langu na kuichukua bidhaa zote tarehe 29/10/2025 nimeipata hasira sana na hawa wajinga.Tukutane kesho nitawageuza kuwa chapati
Sawa tukutane kesho uone nitakavyokufumuaJichanganye utaua mmoja the rest ni story ..ingependeza uache wosia kabisa hili kaka yako yule Teja asisumbue wanao kwenye mirathi
Unatisha nani takataka wewe,unadhani kesho tunaingia kiboya?Sawa tukutane kesho uone nitakavyokufumua
Wanachofeli Gen Z.Tumebakiza masaa machache kuelekea barabarani! Nimejiandaa vya kutosha