Tumeanzisha importation ya magari toka UK

Mc2nyi

Senior Member
Nov 5, 2013
190
189
Habari wandugu.

Nina connection na watu marafiki zangu waliopo UK na tumeanzisha importation ya magari toka UK.

Magari yote hukaguliwa na mechanical specialist na kuwa authorized.

Ukitaka gari niambie model kwa whatsapp +4550162895 na nitakutumia picha na details/logistics namna ya kulipata.

Tulianza na tutaendelea.
 
Range rover hadi bandarini bei gani ya mwaka 1996
 
Back
Top Bottom