Humpendi..na una tabia ya uwizi/ udokoziBado cjamtoa nampenda sana
Dogo acha ujinga , usitumie pesa ya mwenzio Kama huna mpango nae ,Habari za muda huu wapendwa nina mchumba wangu tumeanza mahusiano tangu mwaka 2014, yeye akiwa darasa la saba mimi nikiwa form one mpaka leo hii yeye yupo chuo na mimi nipo chuo kikuu bado tuna mahusiano, lakin siku moja nlijaribu kushika simu yake nikakuta kuna voice note ambazo ametumiwa na mwanaume mwingine, alipogundua nimeona alilia sana akaomba nimsamehe, basi nikapotezea lakini juzi kati aliniambia nisajiri kadi ya bank kwa ajili ya kutunza hela ambazo zitatusaidia kuanzisha maisha, mpaka sasa ameshaweka kiasi fulan mm cjaweka nafsi inanituma kuzitumia pesa ambazo ameweka yeye. Je ni sahihi kufanya hivyo? Naombeni ushauri wenu
Sawa kaka!Dogo acha ujinga , usitumie pesa ya mwenzio Kama huna mpango nae ,
Unachotakiwa kuelewa kuhusu wanawake , ni kwamba hua wanatongozwa Sana aisee ,hata ukimuoa atendelea kutongozwa tuu , cha msingi ni mwanamke mwenyewe awe na msimamo tu .
Kama alikuomba msamaha inatakiwa usamehe , na Kama humtaki tena muambie ukwel tu
usamehe nini sasa kikubwa uache wizi..Kwaiyo nimsamehe2
AhsanteAchana nae
Simple..
Watoto wadogo hamjui how to be alpha male...
Historia ni takataka km alikusaliti narudia tena ni takataka.
Kama mwanamke anakupenda awe consistent na hisia zake km hawezi basi Hamna future katika ya mwanaume timamu na mwanamke malaya.Natamani ulijue hili mapema kabla hujaamua kumuoa,the sooner the better.
Najua una grudge moyoni na nikama huna courage ya kumuacha kisa historia yenu Narudia tena historia ni takataka km hawezi kukuheshimu.
Kuwa na maamuzi mAgumu dogo lasivyo huo ndo mwanzo wa kuanza kuendeshwa kingese na kusalitiwa kingese.
Mwisho niambie voice note sio za usaliti ila km ni za usaliti tambua hiyo ndo mara ya kwanza kustukia usaliti na sio mara yake ya kwanza yeye kukusaliti..
Sasa kama unaona baadae atabadilika kwanini usiachane nae?? Huo wizi unaotaka kufanya nao unaweza kukuletea shida baadaeNaona kama badae atabadirika tena sasa nataka nizitumie kama kulipa kisasi