Hayo yote uliyouliza ni sawa kabisa, naomba ushauri tafadhaliKijana
Nikuulize maswli haya labda huenda ukatupatia mwafaka wa penzi lenu
Swali la kwanza je licha ya hiyo dosari ya kukuta voice sijui msg kwa simu yake je bado unamhitaji ?
Je unampango wa kumwoa?
Je hiyo fedha yake unavyoona ni kwamba anaitoa wapi?
Unadhani kuna MBABA fulani linamega na linatoa posho nzito kwa mpenzi wako ndo maana unapewa uzitunze?
NIJIBU NIKUSHAURI
[emoji2935]Mrudishie pesa zake utemane nae. Mbona unajitesa sana mkuu kama humuamini na ulikuta kabisa voice notes ulizotilia mashaka sidhani kama kuna upendo tena hapo. Utaishi vipi na mtu humuamini ni bora ukatemana nae mapema kuliko mkiwa ndani ya ndoa mje kuchomana na magunia ya mkaa.
Na wewe una roho ya kisasi bora muachane kwa amani kukwepa mkono wa dola.
Miaka yote hiyoSiyo kwamba cna mpango nae, mpango upo make kwa muda wote huo tuliokaa kwenye mahusiano nicngekua na mpango nae ningekua nshamtema kitambo
Ni ngumu kuchanga pesa na boifurendi?[emoji23][emoji23][emoji23]pengine anataka kutumia then arudishe
Ila kuna wanawake wana mioyo kuchanga pesa na boifurendi aah
Naanzaje yaani
Sio kwenye pesa weee yaani boifurendi πππ
Shida ya boifurendi huyu ana chuki moyoni. Lakini mimi tukizichanga na wewe, ahh... Mambo itakuwa swaaafi!Sio kwenye pesa weee yaani boifurendi [emoji23][emoji23][emoji23]
πππlabda mimi ndo nitunze hizo helaShida ya boifurendi huyu ana chuki moyoni. Lakini mimi tukizichanga na wewe, ahh... Mambo itakuwa swaaafi!
Sent from my S20 Ultra using JamiiForums mobile app
Tuweke kwenye account ya pamoja. Card niitunze! Nakuhakikishia zitakuwa salama kama mvinyo madhabahuni![emoji23][emoji23][emoji23]labda mimi ndo nitunze hizo hela
Aah thubutu ππTuweke kwenye account ya pamoja. Card niitunze! Nakuhakikishia zitakuwa salama kama mvinyo madhabahuni!
Sent from my S20 Ultra using JamiiForums mobile app
Kuwa na imani my dear. Kesho yetu inajengwa leo!Aah thubutu [emoji23][emoji23]
Sio sahihi Mwanaume kuchukua vitu Vya bure na hili limekua tatizo sana hasa kwa vijana Wengi wa vyuo, mazara ni makubwa sana, inawafanya akili zilemae na kufikiria vipesa vya bure na vidili Vidogo Vidogo , Na mwanamke kutongozwa ni jambo la kawaida, ila kama umemtoa kwenye plan zako, mwambieHabari za muda huu wapendwa nina mchumba wangu tumeanza mahusiano tangu mwaka 2014, yeye akiwa darasa la saba mimi nikiwa form one mpaka leo hii yeye yupo chuo na mimi nipo chuo kikuu bado tuna mahusiano, lakin siku moja nlijaribu kushika simu yake nikakuta kuna voice note ambazo ametumiwa na mwanaume mwingine, alipogundua nimeona alilia sana akaomba nimsamehe, basi nikapotezea lakini juzi kati aliniambia nisajiri kadi ya bank kwa ajili ya kutunza hela ambazo zitatusaidia kuanzisha maisha, mpaka sasa ameshaweka kiasi fulan mm cjaweka nafsi inanituma kuzitumia pesa ambazo ameweka yeye. Je ni sahihi kufanya hivyo? Naombeni ushauri wenu
Bado cjamtoa nampenda sanaSio sahihi Mwanaume kuchukua vitu Vya bure na hili limekua tatizo sana hasa kwa vijana Wengi wa vyuo, mazara ni makubwa sana, inawafanya akili zilemae na kufikiria vipesa vya bure na vidili Vidogo Vidogo , Na mwanamke kutongozwa ni jambo la kawaida, ila kama umemtoa kwenye plan zako, mwambie
Wewe una tabia ya udokozi...kiufupi we ni mwiziMe nampenda sana, make najua ni wapi tumetoka sasa kuna wakati roho fulan inanishawishi nizitumie. Naomba mnishauri jaman