Tumeanza mahusiano...

usimwamini mwanamke, tumia izo fedha,

then mpige kibuti,badili namba, utakuja kunishukuru
 
Muoe huyo kaa nae anakupenda, hupati mwengine kama yeye, hayo makosa yasikufanye ulipize kisasi hakuna mkamilifu
 
Daaah hatari Sana[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Ni voice note tu au kuna kingine kinachokufanya ulipize kisasi?
 
Ni voice note tu au kuna kingine kinachokufanya ulipize kisasi?
Ni hicho2 na zile voice note zinaonesha kuna mtu huwa anamwaga mpunga wa kutosha so zile hela muda mwingine mpaka nahisi huwa nazitumia
 
Member wamecharuka kuandika upuuzi.
 
Yaani unataka kuzitumia hizo pesa kama kulipa kisasi ama wataka kuzitumia kisha uzirudishe

Inaelekea humpendi tena?
Toka miaka yote hajawahi kukufanyia mazuri? Leo kakosa ndio ulipe kisasi?
Kuwa mwanaume kamili kama umeshindwa kumsamehe mwambie kuwa huwezi kuwa naye tena na hiyo sababu umwambie halafu endelea na mambo yako
Kutumia ela yake siyo kama unalipa kisasi bali utaendelea kuumia zaidi
Pia huwezi kujua mwenzako atachukua uamuzi gani
Na kuachana na mtu siyo destuli lazima mgombane na kushindwa hata kusalimiana, unaweza kuashana na mtu kimahusiano na maisha mengine mkaendelea bila kuwa na mahusiano
KISASI SIYO JAMBO NZURI
 
mpaka sasa ameshaweka kiasi fulan mm cjaweka nafsi inanituma kuzitumia pesa ambazo ameweka yeye. Je ni sahihi kufanya hivyo? Naombeni ushauri wenu
Tumia hizo Pesa mwanangu, ila Kadiria kiasi usizimalize zote.

Kama yeye angekuwa na mashaka na wewe na kwemye akaunti ni wewe ndie uleweka pesa naamini asingejiuliza mara mbili katika kuzitumia.

Tuma kisha tafuta sababu ya maana kumueleza pesa zilikoenda sio uanze kumwambia ati umelipa kisasi.

Narudia, Tumia hizo pesa mwanangu Tumia bhana. Kwani shilingi ngapi,
 
Acha roho mbaya mtoto wa kiume, kama huna malengo nae mrudishie hela yake na kumwambia ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…