😂😂😂pengine anataka kutumia then arudisheKuna mtu anakaribia kurogwa..🤣
Inaonesha huna tena mpango nae.... usilipize kisasi, be a man muambie ukweli na umuachie pesa zake zije zimsaidie mwenyewe baadaeNaona kama badae atabadirika tena sasa nataka nizitumie kama kulipa kisasi
Me nampenda sana, make najua ni wapi tumetoka sasa kuna wakati roho fulan inanishawishi nizitumie. Naomba mnishauri jamanInaonesha huna tena mpango nae.... usilipize kisasi, be a man muambie ukweli na umuachie pesa zake zije zimsaidie mwenyewe baadae
Sihusiki na kurogwa kwa mtu we mwenyewe najua huwezi..😅😂😂😂pengine anataka kutumia then arudishe
Ila kuna wanawake wana mioyo kuchanga pesa na boifurendi aah
Tumia ili ujue kwanini mkuu hizo hela kwa pande zote mbili jua zipo kimtego so chochote utakachofanya just for your own riskKwann
Kakudanganya nani😂😂Sihusiki na kurogwa kwa mtu we mwenyewe najua huwezi..😅
Kama kale kazoezi tu ulishindwa hela itakuwaje..!! Yani wewe ipo siku tu kitaumana..🤣Kakudanganya nani😂😂
Ukitaka kulipa kisasi basi chimba makaburi mawili, lako na la huyo umfanyiae kisasi.Naona kama badae atabadirika tena sasa nataka nizitumie kama kulipa kisasi
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Ukitaka kulipa kisasi basi chimba makaburi mawili, lako na la huyo umfanyiae kisasi.
Zaidi ya hapo, kisasi cha mwanamke hakinaga kipimo, yeye akikufanyia hataangalia ni ubaya kiasi gani uliomtendea, kisasi cha buku kitakugharimu milioni.
Sasa usitumie kisasi kama kigezo cha kukidhi njaa ndugu, kama huna hela sema tu.
Niende kwa bibiNisubiri nini tena..?
Spidi utakayoenda nayo ndo utarudi nayo.Niende kwa bibi