Tumeanza kuwasiliana tu anadai ana njaa

Tumeanza kuwasiliana tu anadai ana njaa

Mimi nimeoa na sinaga tabia ya kuchepuka juzi kati nikasema ngoja nikumbushie ukware kidogo nikatokea ka binti bwana,kama kawaida nikakomaa nipate contact nikapewa mwanawane.

Baada ya masaa machache naona text,mambo? tukaanza kuchati sitaeleza sana maongezi yetu lakini kilichonishangaza mara naona text nina njaa Hee,nyie wadada,hebu ficheni vitabia vyenu vya ajabu kujuana tu siku moja unataka kuleta mambo ya kupigana mizinga loooo,acheni ujinga huo.
Komaa na wife wako tu mkuu, hayo mambo ya beby nna njaa tuachie sisi mabachela tushazoeaa! Mbona simple tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka sanaaa eti "nina njaa" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]daaah!!!
wapo wengi tu "" kwani haujawahi kuwaona hao"" but wengi wao ni 26 kushuka chini ....hawajielewi
 
ndio utulie na mkeo "" tena uzidishe upendo na heshima...yanayojiri huku mitaani acha kabisa""kama bado unatembea na taswira ya miaka 80 """unaweza kukana. kabisa kuwa haupo duniani""
 
Hicho ndo ulichokuwa unakitafuta, kupigwa mizinga. Sasa unalalamika nini? Pambana na hali yako
 
Back
Top Bottom