Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,125
- 39,883
Natafuta mkuu. Kama ramani zinasomeka upande huo tupeane connection za michongoEndelea kutafuta ajira, kulia lia humu hakutakusaidia!
Nipe namba zake mkuu.Nimekua pamoja na huyu binti kwa miaka miwili na ziada. Marafiki na baadhi ya ndugu kila upande wanajua mahusiano yetu. Kilichopelekea kuachana nae ni hali yangu duni kiuchumi. Kwa kipindi cha takribani mwaka na nusu sasa napitia hali ngumu sana.
Kwa mwanaume ni ngumu kudumisha mahusiano kama haupo stable kiuchumi, sio binti muomba hela akiniomba basi najua kabisa huyu ana shida kweli tatizo hata hizo mara chache anapoomba msaada wangu nakua sina kitu.
Baada ya kujitafakari nimeona ni bora tuachane uenda akakakutana na mwingine mwenye hali nzuri. Sijamuambia sababu nipo broke nimetafuta sababu nyingine. Kama kawaida kaniaga kwa maneno makali kidogo lakini nilishajiandaa kwa ilo.
Vijana wenzangu usiwe commited kwenye mahusiano kama bado uchumi unayumba. Hata kama mwanamke anakupenda kwa hali yako hautakuwa sawa kisaikolojia. Siku ya pili sasa bado najilaumu kwa nilichokifanya lakini maisha lazima yaendelee. Nimelazimika kumuacha kwa sababu nampenda.
Nafsi inanisuta najiona nampotezea muda nilishafanya majaribio kadhaa kumyima attention, kukata mawasiliano n.k ili mwenyewe ajiongeze nikaona imeshindikana ikabidi nimuambie tuPole Natafuta Ajira
Ungebaki nae tu,muhimu alielewa hali yako na bado akachagua kuwepo kwenye maisha yako
Sikua namuhudumia hata yeye anashughuli yake ingawa sio hizi za career women lakini inampa kula na kumudu kupendeza.Binti hujamuoa umhudumie wewe? na wazazi/ndugu zake wafanye nini?
Kwa hiyo kama huna pesa huna haki ya kupenda/ndwa?Nafsi inanisuta najiona nampotezea muda nilishafanya majaribio kadhaa kumyima attention, kukata mawasiliano n.k ili mwenyewe ajiongeze nikaona imeshindikana ikabidi nimuambie tu
Hofu lazima iwepo utapata wapi confidence while you are brokembona kama hofu ni kwako tu
2020 niliacha binti kwa style hiyo kwa sababu hiyo hiyo ya kupigika na najua asinge weza nivumilia mashida zangu na sikumwambia kuwa nimekuacha ila nilijiweka sipo-nipo ahadi nikaisogeza mbele ili aamue kusepa au kubaki akasepa zake.Nimekua pamoja na huyu binti kwa miaka miwili na ziada. Marafiki na baadhi ya ndugu kila upande wanajua mahusiano yetu. Kilichopelekea kuachana nae ni hali yangu duni kiuchumi. Kwa kipindi cha takribani mwaka na nusu sasa napitia hali sasa bado najilaumu kwa nilichokifanya lakini maisha lazima yaendelee. Nimelazimika kumuacha kwa sababu nampenda.
[emoji3][emoji3][emoji3] halafu?Nipe namba zake mkuu.
Haya mambo ukiwa jinsia tofauti ni rahisi sana kuyaongelea kitaalamuKwa hiyo kama huna pesa huna haki ya kupenda/ndwa?
Kama ipo nafasi mrudie mwenzako,pambana akiwepo
Kususa haikusaidii kitu
Kwa sasa huna mpenzi,pesa huna unaanza kuchukua sheria mkononi sio?
Mimi alipaniki lakini hakufika uko kwenye maneno ya kashfa. Na sikumjibu chochote wakati wa hayo mashambulizi yake kwangu2020 niliacha binti kwa style hiyo kwa sababu hiyo hiyo ya kupigika na najua asinge weza nivumilia mashida zangu na sikumwambia kuwa nimekuacha ila nilijiweka sipo-nipo ahadi nikaisogeza mbele ili aamue kusepa au kubaki akasepa zake. Last conversation yetu alinitukana kipuuzi saana eti kama ni pesa basi niwe freemason nitapata kwa kebehi lukuki kedekede nikanyong'onyea kiasi ila nashukuru nilijiandaa kwa kila kitakacho tokea baada ya maamuzi yale. Mungu ni mwingi wa rehema nimehangaika angalau nipo njia yenye uelekeo wakujitafuta zaidi. Aliolewa now sijui maisha yake ila tia maji kachoka walio mwona wanavyosema. This is life. Hakuna wakukuvumilia pambania kombe lako mapenzi waachie wahindi wale waigizaji