Tumeachana kisasa bila shida

Tumeachana kisasa bila shida

SHIGOTTO

Senior Member
Joined
Sep 4, 2018
Posts
156
Reaction score
282
Ndugu wana Jamii, niliwahi kuleta thread hapa jukwaani yenye title mapenzi ni shida!!!!! Nilielezea yaliyojiri kati yangu na binti mmoja ambaye nilitokea kumpenda sana, ukiweza tafuta huo uzi upo humu kwa reference zaidi.

Niliendelea kuwa nae kwa kujivuta vuta hivyo hivyo, ingawa moyoni alishaanza kunitoka kidogo kidogo. Ukweli ni kwamba nilanza kutafuta mtu mwingine kimyakimya sababu nilijuwa wazi huyu wa sasa sina mpango nae ingawa kumuacha ilikuwa mtihani kwa kiasi kwani nilikuwa tayari kwenye mapenzi yenye kerooooo Mmnoooooo!!!!!.

Last week ilikuwa siku ya alhamisi nilitoka dinner na huyu binti (wa zamani) kwa lengo la kutaka kumuelezea maamuzi yangu ya kumaliza mahusiano nae, tukakaa sehemu kwa kinywaji na msosi lakini nilishindwa kumuulezea kwa sababu alikuwa yuko very romantic kuliko maelezo, wakati huo kesho yake nilikuwa tayari na ahadi na bi dada mpya nikitegemea ningemaliza ile game alhamis na Ijumaaa ningekuwa huru na mtu mpya, kwa kweli kwa ile alhamis nilishindwa, mwisho wa yote alhmisi tukaondoka tukiwa sawa maana sikuweza timiza lengo langu,hivyo nikamuomba tukutane kesho yake Ijumaa kwa muda mfupi, lengo ikiwa ni kumpa taarifa ya kuwa mimi na yeye mwisho wetu ni pale. Basi Ijumaa kweli tukakutana kwa dk 45 akiwa katika moody nzuri kabisa lakini nikasema iwe jua iwe mvua leo ndiyo MWISHO.

Tulikuwa katika mazungumzo ya kawaida ndipo mimi nilipomtamkia kuwa baada ya kukaa nae kwa muda wote tulikuwa pamoja ningependa kumuueleza kuwa MIMI KUANZIA SIKU ILE YA IJUMAAA NDIYO MWISHO WA YEYE NA MIMI NA NISINGEPENDA MAWASILIANO WALA KUTAFUTANA MAANA TAYARI NIMESHAPATA BABY MWINGINE. Wakati natoa taarifa hiyo mdada mpya akapiga simu kunielezea kuwa ameshafika eneo husika ili tuendelee na appointment yetu. Binti alipigwa na butwaaaa na hakuamini akabaki anashangaaaaaaaa na kulalamika kuwa AMEUMIA MNOOOOOOOOOOOO na hata weza lala kwa sababu hakutegemea.
Haya wa ndugu tusipende kushindana na hawa viumbe ila dawa ya mwanamke huwa ni mwanamke mwenzake. Nakaribisha maoni yenu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Ndugu wana Jamii, niliwahi kuleta thread hapa jukwaani yenye title mapenzi ni shida!!!!! Nilielezea yaliyojiri kati yangu na binti mmoja ambaye nilitokea kumpenda sana, ukiweza tafuta huo uzi upo humu kwa reference zaidi.
Niliendelea kuwa nae kwa kujivuta vuta hivyo hivyo, ingawa moyoni alishaanza kunitoka kidogo kidogo. Ukweli ni kwamba nilanza kutafuta mtu mwingine kimyakimya sababu nilijuwa wazi huyu wa sasa sina mpango nae ingawa kumuacha ilikuwa mtihani kwa kiasi kwani nilikuwa tayari kwenye mapenzi yenye kerooooo
mnoooooo!!!!!.

Kumbe shida ipo maana ameumia
 
Kumbe kuna kuachana kisasa, nilidhani nayajua mengi hadi leo nimejifunza kipya!
 
Sasa umeshafanya maamuzi unataka maoni ya nini? Songa mbele na maisha mapya.
 
Man up bro! Wanawake huwa hatuwambii kuwa tunaachana. Tembea kimya kimya..

Tatizo ni hatujui tutarudi lini! Usirudie hio Blunder! Wanawake hawaachwi!
 
Bado hamjaachana mkuu. Hiyo ngoma bado mbichii
 
Siwezi apia ila hii staili kwangu niliona ni nzuri maana itanizuia hata mimi kumfuatilia tena! nime block means zote za mawasiliano na kichwani nimeshahama , nikirudi nina imani litakuja nipata zaidi yaliyo nipata jamani mi nimeshatoka sihitaji tena kuwa na huyu kiumbe!!!!!!!!!!!!
 
Man up bro! Wanawake huwa hatuwambii kuwa tunaachana. Tembea kimya kimya..

Tatizo ni hatujui tutarudi lini! Usirudie hio Blunder! Wanawake hawaachwi!
Muache akakute maajabu ya kutisha huko kwa baee mpya, hadi amkumbuke huyu alomuacha, ndo atajua hajui.
 
Back
Top Bottom