Tumeachana kisasa bila shida

Tumeachana kisasa bila shida

Mbona Kama unaumia mkuu?

Walioacha na wanaoacha hawanaga maneno mengi, otherwise uliachwa kitambo na Sasa umejiaminisha umeacha
 
Mbona Kama unaumia mkuu?

Walioacha na wanaoacha hawanaga maneno mengi, otherwise uliachwa kitambo na Sasa umejiaminisha umeacha
Kaka kama ningekuwa nimeachwa kitambo inkuaje mdada aseme AMEUMIA SANAAAAAAAAAAAA! tena imemuama haijawahi tokea maishani mwake!!!! Anyway mimi nimeshaondoka na inatosha, najua hata kama atarudi basi ujuwe lazima anajiandaaa kulipa kisasi, si nitakuwa sina ufahamu kuwa nae tena!!!!!!
 
Back
Top Bottom