YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,908
- 51,904
Kwa mujibu wa tume ya uchaguzi Mgawanyo wa viti maalumu hufanyika kwa kutegemea idadi ya wabunge na madiwani wa kuchaguliwa ambao chama kinao.
Chadema wabunge wa kuchaguliwa na madiwani wa kuchaguliwa wengi wameondoka na CCM IMESHINDA chaguzi na kuongeza idadi ya wabunge na madiwani kwenye kapu lake.
Ajabu tume haipunguzi idadi ya wabunge na madiwani wa viti maalumu chadema, wamebaki wale wale kinyume na formula ya mgawanyo.Inatikiwa CCM IDADI ya viti maalum iongezwe na ile ya chadema ipunguzwe.
Chadema washauriwe wapeleke majina tume ya wabunge na madiwani viti maalumu ambao inabidi wapunguzwe kukidhi matakwa ya hiyo formula.
Kwa kuwasadia Chadema ili wasiumize vichwa sana nashauri mmoja anayetakiwa kupunguzwa kwa maoni yangu napendeza wa kwanza awe mbunge viti maalum Joyce Mukya.