Zurie
JF-Expert Member
- Jul 6, 2014
- 2,002
- 5,535
NASA imekuwa ikinadi azma yake kuwekeza ktk mfumo wa kujumlisha kura za urais ili wasichakachuliwe na IEBC au Jubilee. Tume imekataa na kusema kazi ya kuhesabu kura ni ya IEBC.
Raila Odinga amesema kuwa Hawataki kusikia kuwa kazi hiyo ni ya IEBC, watajumlisha na kutangaza matokeo yao.
Endapo NASA itafanya hivyo, itahitaji pesa nyingi kwani kuna vituo zaidi ya 34,000