Tume ya Taifa ya uchaguzi yafafanua kuvuliwa ubunge Sophia Simba baada ya kuvuliwa uanachama CCM

Wa Upinzani wakifukuzwa hawaandiki Barua .......... ila kwa CCM ni chap chap!!

Vipi Barua ya Katibu wa CUF (Lipumba) inatoka lini!!?
 
mi naona hajachelewa Spika ndo huwa anaandika kwa Tume kumjulisha Jaji kuwa kuhusu nafasi iko wazi
hapa wanawake waanze kujipanga sasa
Sophia aliingia kwa uenyekiti wa UWT,kwani ameshachaguluwa mwenye kiti mpya?
Kanuni za CCM mwenyekiti wa UWT moja kwa moja ana ukwaa ubunge wa viti maalum
 
Baada ya kuvuliwa uwanachama alisema hataondoka CCM kumbe alikuwa anajaribu kulinda ubunge wake.
 
Yupo mbunge mmoja wa CUF alifukuzwa uanachama kwenye Bunge lililopita lkn Alibaki kuwa mbunge, na kwa sasa ni waziri kwenye serikali ya mapinduzi zanzibar. Nadhani wangetumia vifungu hivyo hivyo mama Sophia naye aendelee tu na ubunge wake.
Mɓunge au mwakilishi fafanua
 
Jaji hawezi kukurupuka bila ya kupata taarifa toka kwa spika.Pia je sofia angekwenda mahakamani ili awe mbunge wa mahakama ingekuaje
Sophia simɓa ni mɓunge viti maalumu sio wa jimɓo wa kupigiwa kura na wanachama na wasio wanachama yeye kapelekwa na chama tofautisha
 
Yupo mbunge mmoja wa CUF alifukuzwa uanachama kwenye Bunge lililopita lkn Alibaki kuwa mbunge, na kwa sasa ni waziri kwenye serikali ya mapinduzi zanzibar. Nadhani wangetumia vifungu hivyo hivyo mama Sophia naye aendelee tu na ubunge wake.
Yule alienda mahakamani kudai haki yake na ni mahakama iliyomsimamia. Huyu hajaenda kwa hiyo huwez kutumia vifungu hivyo.
 
[quote uid=232802 name="nyanthorogo" post=20636417]Yupo mbunge mmoja wa CUF alifukuzwa uanachama kwenye Bunge lililopita lkn Alibaki kuwa mbunge, na kwa sasa ni waziri kwenye serikali ya mapinduzi zanzibar. Nadhani wangetumia vifungu hivyo hivyo mama Sophia naye aendelee tu na ubunge wake.[/QUOTE]<br />Mɓunge au mwakilishi fafanua

Sheria zinayofautiana? Mimi sio mwanasheria lkn najua huyo mwanachama wa CUF alifukuzwa uanachama na vikao halali vya chama
 
Back
Top Bottom