Tume ya Taifa ya uchaguzi yafafanua kuvuliwa ubunge Sophia Simba baada ya kuvuliwa uanachama CCM

Mwakaboko King

JF-Expert Member
Apr 22, 2015
1,099
207

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Tume ya Taifa ya Uchaguzi inapenda kuutarifu Umma kuwa; kwa mujibu wa Kifungu cha 37 (3) cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, Sura ya 343, Mhe. Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amemjulisha Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuwa; kufuatia Mbunge wa Viti Maalum, SOPHIA MNYAMBI SIMBA kufukuzwa uanachama wa Chama cha Mapinduzi tarehe 11 Machi, 2017 kiti cha Mbunge huyo wa Viti Maalum Wanawake kwa tiketi ya CCM kiko wazi.

Kwa mujibu wa Ibara ya 67 (1) (b) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, ili mtu ateuliwe au achaguliwe katika nafasi ya Ubunge ni lazima awe mwanachama aliyependekezwa na Chama chake husika cha Siasa.

Kwa kuwa Ndg. SOPHIA MNYAMBI SIMBA amefukuzwa uanachama wa Chama kilichomdhamini, Ibara ya 67 (2) (e) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, inaelekeza kuwa Mbunge huyo amepoteza sifa za kuteuliwa au kugombea Ubunge.

Kutokana na kuwepo kwa nafasi wazi ya Ubunge wa Viti Maalum, taratibu za kujaza nafasi hiyo zinaendelea kwa kuzingatia kifungu cha 86A (8) cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, Sura ya 343.

Jaji (R) Semistocles Simon Kaijage

Mwenyekiti

TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI

12 Aprili, 2017
 
Macho kodo naona kiti hicho mwenyekiti tayali ashamchagua kitaaaambo..!!
bado kumtambulisha tu
 
Bashe anajiondoa lini....
Maana hiyo ni Fursa kwangu jamaa yangu atagombea na mm ndio kampeni meneja wake...
 
  • Anatia huruma kiaina, ubunge ni kama ajira, one of the source of income ambayo sasa imepotea
 
Tume tayari majina inayo yale yaliyotumika wakati wa uchaguzi. Hivyo aliyekuwa anafuata anayo nafasi kubwa kuteuliwa kama yupo hai na hajapoteza sifa au kuwa na kazi nyingine. Pia kwa chadema kwa huyo alyefariki.
 
Macho kodo naona kiti hicho mwenyekiti tayali ashamchagua kitaaaambo..!!
bado kumtambulisha tu
Mkuu Sophia alipitia UWT sidhani kama mwenyekiti ana mkono wake pale. Kitakachofanyika ni UWT wenyewe kumchagua mwenyekiti mpya ambaye kwa mujibu wa kanuni zao ndiye atachukua nafasi ya ubunge wa Sophia.
 
Nashauri hiyo nafasi apewe masogange....
Hivi Bashite akivalishwa nguo za kike si anafaa.. Halafu apewe uwaziri wa mambo ya ndani au waziri mkuu kabisa... Kuhusu jinsia haina noma kabisa si ashazoea forgery.. Atadunda tu kama demu.. Maana mkulu yupo nyuma yake!

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Tume ya Taifa ya Uchaguzi inapenda kuutarifu Umma kuwa; kwa mujibu wa Kifungu cha 37 (3) cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, Sura ya 343, Mhe. Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amemjulisha Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuwa; kufuatia Mbunge wa Viti Maalum, SOPHIA MNYAMBI SIMBA kufukuzwa uanachama wa Chama cha Mapinduzi tarehe 11 Machi, 2017 kiti cha Mbunge huyo wa Viti Maalum Wanawake kwa tiketi ya CCM kiko wazi.

Kwa mujibu wa Ibara ya 67 (1) (b) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, ili mtu ateuliwe au achaguliwe katika nafasi ya Ubunge ni lazima awe mwanachama aliyependekezwa na Chama chake husika cha Siasa.

Kwa kuwa Ndg. SOPHIA MNYAMBI SIMBA amefukuzwa uanachama wa Chama kilichomdhamini, Ibara ya 67 (2) (e) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, inaelekeza kuwa Mbunge huyo amepoteza sifa za kuteuliwa au kugombea Ubunge.

Kutokana na kuwepo kwa nafasi wazi ya Ubunge wa Viti Maalum, taratibu za kujaza nafasi hiyo zinaendelea kwa kuzingatia kifungu cha 86A (8) cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, Sura ya 343.

Jaji (R) Semistocles Simon Kaijage

Mwenyekiti

TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI

12 Aprili, 2017
 
Hapo tupo wote, safi sana. Tatizo na lile li mama halijitambui. Limefukuzwa eti "nitaendelea kuwa kada wa CCM"
Si alidai CCM hakuna mwanaume kama mvi,na akadai hakuna wa kumbabaisha,alisahau kuwa kaka yake ataondoka na litakuja jembe,sasa ni wakati wa kufuata mvi,huko ubunge unatolewa kama peremende
 
Jaji hawezi kukurupuka bila ya kupata taarifa toka kwa spika.Pia je sofia angekwenda mahakamani ili awe mbunge wa mahakama ingekuaje
Haha mnajidanganya ,mwambieni aende haraka sana,CCM sio CUF au Chadema,hawakurupuki.
 
Back
Top Bottom