Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC) yatoa Ratiba rasmi. Uchaguzi kufanyika Oktoba 25, 2015

Ni lini mwisho wa kuandikisha wapiga kura, mpaka ssa ni wangapi wameshaandikishwa ? Naona kama jaji anafanya kujaribu jaribu na kutokua makini ktk maswala ya msingi kabisa. Huyu ni Jaji mwenye elimu nzuri lakini mambo anafanya ovyo kabisa,
 
Kumbuka bosi wako ali-go on record kuwa uchaguzi umeahirishwa na JK anajiiongezea muda. Vitu kama hivi ndio vinafanya watu wadharau harakati zenu wakati mwengine.inasikitisha sana kiongozi mkubwa kama mbowe anakubali kugeuzwa puppet wa taarifa za kijiweni.

sasa kama mnaamini kwa dhati hakuna uchaguzi, msifanye kampeni, kaeni hadi octoba 25,lakini kama mtafanya kampeni na kuteua wagombea kwa ajili ya uchaguzi "usiokuwepo" mtaonekana majuha.

Vipi kuhusu kura ya maoni mkuu nayo si mlisema itafanyika april 30 mbona hadi leo hakieleweki?
 
Kimweri nakubaliana na wewe kabisa kile unachosema na hata jinsi unavyoitetea serekali kwani ni haki yako na wapinzani ni haki yao pia kuikosoa serekali kwani ni haki yao. Unasema iwapo watafanya kampeni wataonekana ni majuha!! Hivi hujui kwamba serekali kutokana na uzembe na mambo mengi yanayofanyika kwa hila ndio inafanya hata hao wapinzani na sisi wananchi tuidharau na kuwaona ni zaidi ya majuha? Mifano ni mingi lakini naweza kukupa michache, kwa mfano mpaka hii leo tunavyozungumza zoezi la BVR linafanyika katika njia ya kizembe ama kuna makusudi fulani kwa lengo fulani, haiwezekani watu wanaenda vituo vya kujiandika kupiga kura wangalau 200 lakini chini ya mia ndio wanaandikishwa. Wenyewe hao serekali waliozoea kufanya kazi kwa mazoea wanaita ni changamoto, lakini kwetu sisi waelewa tunaita ni uzembe, kwani changamoto ni mambo yanayotekea nje ya uwezo wa kibinadamu lakini mambo ambayo yalipaswa kufanywa sawa lakini yanasuasua sisi tunaita ni uzembe ama kwa jicho la umakini zaidi ni hila ama nia ovu.

This whole NO election debacle started by Mbowe reminds me of the village bunch who prayed for rain but only a single kid brought an umbrella to the prsayers.

If Mbowe and Team trust their sources, they should stick to their guns that there is no election hence they should not bother campaigning or select their MP nominees.

If you read carefully what i worte you would realise that Mbowe and Team picked a very tough stand and it is now becoming obvious that was a blunder.

Same blunder as Burundi opposition to cheer up when Nkurunzinza was supposedly deposed, yet they claim for him to respect the constitution that the coup they cheered for also broke.

This is where inteligence and stratergy pays of, and it seems CDM are severely lacking in these two.

Wote tulijua ukiwepo, wewe, mimi, tume ya uchaguzi na umma kwa ujumla wake kwamba uchaguzi ni mwaka 2015 lakini leo ndio uandikishwaji unafanyika kwa kusuasua tena tukiwa tumechelewa, hili unaweza kuwaita wapinzani majuha wakati hila ziko wazi? Ni mambo mangapi yamefanyika bila hata woga wala aibu toka kwa serekali hii hii unayoitetea bila aibu, Rais wa nchi alitangaza kura ya maoni ni april 30 tena hata sheria haikumtaka yeye atangaze lakini akajivika mamlaka yasiyo yake kisa ni mkuu wa serekali na nchi, wapinzani haohao leo unaolazimisha waonekane majuha walisema haiwezekani na ukweli uko wazi, leo unapata wapi nguvu ya kusema eti wataonekana majuha. Kwenye hili la dhahiri nani majuha? Wapinzani wamelalamika tena ndani ya bunge kwamba BVR zinakuja kwa kusuasua lakini serekali unayoitetea imesemwa kwamba imeagiza magari 700 ya kuwasha, na mpaka leo serekali haijakanusha. Kwa mazingira haya unategemea wapinzani wakae kimya eti kuna nyie mnaotetea serekali mtawabrand kwamba ni majuha? Tetea serekali lakini ujue na sis wananchi tuna akili na tunaona mizengwe, uzembe na hila za dhahiri tena zenye nia ovu mbele yetu ambazo zitaliacha taifa hili katika sintofahamu kubwa huko mbeleni. Leo sitaki kuongelea sana yale serekali hii iliyokanusha lakini ikadhihirika kwamba ni kweli, rejea kashfa mbali mbali ambazo serekali ilikanusha na kusema wapinzani ni waongo na wazandiki lakini hatimaye ikafamika pasi na shaka ni ukweli.

Kenya had these gadgets yet teh vote was counted manually, have y'all forgotten that?did that make Uhuru any less president?
the opposition should stop wasting their resources talking moot points and focus on getting votes.period.
 
kampeni zitaanza agosti 22, 2015

naambatanisha ratiba yenyewe

attachment.php

chagua ukawa.
 
Naam kumekucha mafisadi, mabwanyenye wa kihindi kuanza kukata tiketi mapema kwenda canada kwa muda, dola imeshafika 2075 hadi oct. itakuwa 2,500.
 
Kamanda sasa wahindi wamefanya nini Chadema bana.
si kawaida yao kukiumbia nchi wakati wa uchaguzi na kurudi baada ya uchaguzi , pesa zote washabadili kwa dola, kwa sasa wamebaki na kidogo za madafu. Tatizo wewe CCM imekufunika macho uwezi ona, mnaishia kusema dola imepanda kwa sababu ya ununuzi wa mabehewa feki na kuagiza vifaa vifya vya BRV mnasahau ukwapuaji fedha vodacom akiwemo mtoto wa manvi.
 
This whole NO election debacle started by Mbowe reminds me of the village bunch who prayed for rain but only a single kid brought an umbrella to the prsayers.

If Mbowe and Team trust their sources, they should stick to their guns that there is no election hence they should not bother campaigning or select their MP nominees.

If you read carefully what i worte you would realise that Mbowe and Team picked a very tough stand and it is now becoming obvious that was a blunder.

Same blunder as Burundi opposition to cheer up when Nkurunzinza was supposedly deposed, yet they claim for him to respect the constitution that the coup they cheered for also broke.

This is where inteligence and stratergy pays of, and it seems CDM are severely lacking in these two.



Kenya had these gadgets yet teh vote was counted manually, have y'all forgotten that?did that make Uhuru any less president?
the opposition should stop wasting their resources talking moot points and focus on getting votes.period.

Kimweri you have decided to come by using different approach as a defending mechanism, though don't think this language will add more value in your point of views as I expressed myself by using swahili. What I can tell you this is not the first time for an opposition leader(s) to raise their concern over some issues related to government weakness. Can you please clarify how Mbowe and his colleagues they picked up a tough stand?

You said Kenyan's have the same scenario by using same staffs (BVR Kits) do you think what happened in Kenya will necessary happen in Tanzania? As far as I know this BVR Kits will not be used in the polling stations which means votes will be counted manually. I think opposition must keep on addressing all weaknesses of this process as this is their responsibility, at the same time they focus on getting votes of which they do. As how it stands they are in a right direction, and Am very optimistic come October in general election their effort will bear positive results, take it from me.
 
Kimweri you have decided to come by using different approach as a defending mechanism, though don't think this language will add more value in your point of views as I expressed myself by using swahili.
Stop being petty and focus on the matter at hand, i use whichever language that pleases me, id on't remember there were any rules of engagement in this discussion topic that i somehow broke.get over it.

What I can tell you this is not the first time for an opposition leader(s) to raise their concern over some issues related to government weakness.
That is the task of opposition leaders.if they were there to cheer up for CCM, we might as well head back to single party system.

Can you please clarify how Mbowe and his colleagues they picked up a tough stand?
1st the picked up something based on speculation, with zero proof and absolutely no backing to whatever accusations they had. Comparing voluntary "constitution vote" with compulsory general elections is akin to comparing cold to cancer just because both are deseases.

Mbowe and Gang carelessly spoke, without analysing the situation. claiming there will be no elections, then engaging on intensive talks among UKAWA on who to contest for the same elections they just claim will not be there is what makes me think Mbowe really does not know what he is talking about.

If you are 100% sure there will be no election, why waste party resources and people's time preparing for the said elections? simple minded folks like you, can applaud mbowe and gang all you want, but am not convinved. Those are type of ploys that can fly in a remote location where people have zero contest not here on JF where we have unlimited context.


You said Kenyan's have the same scenario by using same staffs (BVR Kits) do you think what happened in Kenya will necessary happen in Tanzania? As far as I know this BVR Kits will not be used in the polling stations which means votes will be counted manually. I think opposition must keep on addressing all weaknesses of this process as this is their responsibility, at the same time they focus on getting votes of which they do. As how it stands they are in a right direction, and Am very optimistic come October in general election their effort will bear positive results, take it from me.

calling for improvements and declaring there will be no elections are two different things, if Mbowe and Gang did the first, i would not be commenting here. they did the later with zero disregard of how awkward that comes out now, that they are preparing for the election they want everyone to believe will not be there..,

DON'T YOU SEE the damn hypocrisys in this? comes out as asking peopel to go to heaven then prevent them from dying...,
 
Ratiba ya uchaguzi sio uchaguzi..naona hili kama ni technic ya kuwafunga mdomo upinzani ambao umetilia shaka uchagaguzi kufanyika mwaka huu.

Hoja ya Chadema ni maandalizi hafifu yanayotutia mashaka uchaguzi kufanyika mwaka huu. Ni mahesabu tu ndugu zangu. Mwaka 2010. Zoezi la kuandiksha wapiga kura lilikamilika 2009, April mwaka mmoja kabla.

Kama ratiba ndo uchaguzi basi kura ya maoni ingekuwa imeshapigwa tunavyongea.

Nasisitiza ratiba sio uchaguzi, tunataka maandalizi makini.
 
si kawaida yao kukiumbia nchi wakati wa uchaguzi na kurudi baada ya uchaguzi , pesa zote washabadili kwa dola, kwa sasa wamebaki na kidogo za madafu. Tatizo wewe CCM imekufunika macho uwezi ona, mnaishia kusema dola imepanda kwa sababu ya ununuzi wa mabehewa feki na kuagiza vifaa vifya vya BRV mnasahau ukwapuaji fedha vodacom akiwemo mtoto wa manvi.
mkuu umesahau Kuwa ccm huwa inawalaghai ndugu zetu hawa Kwamba chama kingine kikiingia madarakani kitawanyanganya Mali zao na hivyo kuwalazimisha hawa jamaa zetu kuwachangia fedha ccm za kuhonga wapiga Kura na mawakala ili waendelee kukaa madarakani.tunaposema ccm ni janga la Taifa hili tunamanisha ni janga kweli
,
 
Nani anamtaka kwanza hatuhitaji rais failure hapa..kashindwa kila kitu katiba kapuni,dart kapuni,escrow kapiga hela, chama kinamshinda ...sijui hata atajisifu kafanya nini

Asiye na macho haambiwi tazama.
 
Soma sheria ya katiba inasemaje kabla kuja hapa na porojo zako. Muda wa kupiga kura ulishapita na hakuna atakayetangaza hili unless sheria inabadilishwa. Watanganyika tunalijua hili.

Muda wa kupiga kura ulipita lini?

Wewe ndiyo hamnazo kabisa.
 
Bibie, Salama...

Hili likifanyika kwa mtindo wa kura ya Maoni huoni kwamba kunakuahirishwa kwa uchaguzi huu na hivyo kumuongezea Kikwete muda wa kutawala?

Angalia mikakati ni ileile, awali ktk kura ya maoni, Tarehe ya kupigia kura hiyo ilitangazwa na Rais Kikwete kinyume na Sheria iliyokuwa ikimtaka Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ndiye atangaze. Na hata ktk hili la Uchaguzi hali ni ileile, Lubuva anatangaza mchakato wa Uchaguzi mkuu baada ya ccm kutangaza utaratibu wao wa uchaguzi ndani ya chama chao.

Hii inaashiria nini?

Kwamba Tume inaendeshwa na Serikali na chama kilichoko madarakani. Kama Kikwete asingetangaza kura ya maoni kupigwa mwezi wa nne, pengine mpaka leo Tume ingekuwa bado kutangaza tarehe ya kufanyika kwa kura hiyo ya Maoni. Na kama Wapinzani wasingeing'ang'aniza serikali pale Bungeni kuhusu uwepo wa kura ya maoni, Pengine mpaka leo Tungekuwa kwenye Sintofahamu kubwa sana kihusiana na jambo hilo.

Kwahiyo ni wazi mustakbali wa Uchaguzi huu unategemea kudra za Mwenyezi Mungu na Matakwa ya Mkiti ccm ikizingatia na siku hiyo kaamkaje..!!! Akisema Uchaguzi hakuna, hata Tume watasema hivyo. Wapinzani hawajakurupuka tu kuanza kupigia kelele kwamba Kikwete anampango wa kujiongezea muda wa kutawala. Viashiria vingi vinaonyesha hivyo, Ktk hali ya kawaida inashangaza mpaka kufikia mwezi huu Ccm haijajua mgombea wake wa kiti cha Urais! Kwa hali ya.kawaida hili laweza kuonekana dogo.., lakini ni jambo kubwa sana ukizingatia siasa za hapa nchini petu.

Je ccm hawana mgombea?
Je ccm inaogopa uchaguzi?
Je ccm hawakujua tar ya uchaguzi?
Je nini kiko nyuma ya Sintofahamu hii?

Kwa mujibu wa sheria ya kura ya maoni, kura hiyo haiwezekani tena bila bila kubadirisha sheria iliyotungwa awali kwayo? Je hiyo sheria itabadirishwa lini? Hili ni bunge la mwisho na ni bunge la Bajeti, hakuna muswada wowote uliopo wala utakaojadiriwa kwenye ratiba za Bunge. Hiyo sheria itabadirishwa wapi?

BACK TANGANYIKA

Tarehe ya uchaguzi inajulikana miaka yote. Lubuva anakumbusha tu.

Kura za maoni za CCM ni za ndani, nyie zinawahusu nini?
 
nimemsoma Kimweri, sijui amekula maharage ya wapi? Hoovyoo na ka kiingereza ka kipuuzi huku hata smartphone hajazoea kuitumia!!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu, i second you and just to add, makosa mengi ya kiuabdaaji, hakuna mhuri wa huyo jaji, tume! Lakini pia hii kitu imeaandaliwa na "weekend" au ndiyo jamaa alijifungia chumbani na kuandaa!
Mkuu Ukitumia headed company paper hakuna haja ya muhuri. Ila tarehe za matukio muhimu hazijaandikwa,mambo kama mapingamizi nk
 
Tume Ya Uchaguzi Nchini

(NEC), imekata mzizi wa fitina na kufuta uvumi kwamba, kulikuwa na mpango wa kumwongezea Rais Jakaya Kikwete muda wa kukaa madarakani mara baada ya kumalizaawamu yake ya pili Oktoba mwaka huu.


Hatua hiyo imekuja baada ya jana kutangaza rasmi ratiba ya Uchaguzi Mkuu inayoonesha kuwa, utafanyika Oktoba 25 mwaka huu na kampeni za urais, ubunge na udiwani zitaanzaAgosti 22.


Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana na Mwenyekiti wa NEC, Jaji mstaafu Damiani Lubuva, alisema uteuzi wa wagombea urais, wabungena madiwani utafanyika Agosti 21.



Aidha, imeeleza kampeni rasmi za uchaguzi zitafanyika kwa miezi miwilikuanzia Agosti 22 mwaka huu na zitakoma Oktoba 24, yaani siku mojakabla ya uchaguzi mkuu.



Uchaguzi wa mwaka huu unatarajiwakuwa na ushindani wa hali ya juu, kwani utakuwa unapanga safu mpya ya uongozi wa dola nchini baada ya Rais Kikwete kukamilisha ngwe yake ya miaka kumi ya awamu ya nne.


Piayanatarajiwa mabadiliko makubwa katika safu za wabunge na madiwani.Hadi jana, baadhi ya vyama vya siasanchini vilikuwa `vinalia¡¯ na kile walichokiita kitendo cha NEC kuchelewesha kwa makusudi kutoa ratiba ya uchaguzi, huku wakidai tume hiyo ya uchaguzi ililenga kukibeba chama tawala nchini, CCM madai ambayo yameonekana hayana mashiko.


Chanzo : Habari Leo



My take : Madai ya vyama vya upinzani yana mashiko na yasiposhughulikiwa mapema italeta shida.
 
Jaji Lubuva aeleze ni utaratibu gani utatumika kuhakikisha wanafunzi wa elimu ya juu wanaitumia haki yao ya kikatiba kupiga kura kwa sababu uandikishaji ratiba nyingi za vyuo zinasuggest tarehe ya uchaguzi wao watakuwa likizo,mahali ambapo hawajiandikishia
 
kwanini uchaguzi wasiwe wanaweka siku 1 mojawapo ya kazi na sio kutuwekea jumapili.. sisi wakristo wanatufanya tushindwe kushiriki ibada
 
Back
Top Bottom