Tume ya mipango ndio Think Tank ya Taifa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tume ya mipango ndio Think Tank ya Taifa?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Raia Fulani, May 21, 2011.

 1. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #1
  May 21, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Leo nimeona gari ya mh Hawa Ghasia-mbunge na waziri (kumbe nao hukaa kwenye foleni). Kwenye kava ya tairi ya spea pameandikwa President's Office Planning Commission-National Think Tank. Nilikuwa najiuliza, think tank ya taifa iko wapi? Na kuiita hii tume 'think tank' ni sawa? Hii tume ina 'vichwa' vyote vinavyohitajika na taifa? La msingi la kujiuliza ni kama wanakidhi vigezo vya kuitwa hivyo. Hii tume ni mwarobaini wa matatizo yanayolikabili taifa? Tulipokabiliwa na matatizo ya uchaguzi mkuu na makandokando yake tume ilifanya nini. Tunapokabiliwa na matatizo ya kiuchumi tume inafanya nini. Tunapokabiliwa na gharama na ukosefu wa umeme tume imefanya nini. Wasomi na wanazuoni wetu wamehusishwaje na hii tume katika kuleta ufumbuzi wa matatizo yanayotukabili kama taifa? Au ndio yale yale ya maisha bora kwa kila mtanzania kwa ari zaidi, nguvu zaidi na kasi zaidi
   
 2. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #2
  May 21, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  [FONT=&quot]What a reflexively naive and awful name kwa matendo na matokeo yake! Hilo jina [/FONT][FONT=&quot]in no significant way is advancing the discussion beyond that wheel cover. Tujiulize results ya hiyo tume imezalisha neema au mahangaiko kwa masses of the poor ya watanzania! Nadhani they are simply parroting think tanks kama zile za US na other developed wold ambapo hizo zina clearly tangible results in favor of the majority ordinary citizens. Swali kubwa hapa ni je hiyo tume ime-employ which brains?
  [/FONT]
   
 3. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #3
  May 21, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  Hii nchi haina think tank

  kuna how to steal think tanks..........
   
 4. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #4
  May 21, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0

  KIfupi hiyo tume ni total failure moja ya sababu ni .

  • Kila mwaka tunasikia mgao wa umeme sababu maji kina kimepungua sijui kingazi. Ina maana hawajui kuforecact na kushauri wahusika kuchukua hatuma mapema. Mgao wa umeme ntural disaster kama Tetemeko la ardhi au mafuriko......
  Kwenye majukwaa ya siasa wanasema mgao wa umeme ni changamoto.Are they serius?????? Chngamoto gani more zaidi ya miaka 10. Tukipigwa na matetemeko kama ya japan si tutasema laana

  Watu wana sema failing to Plan if planning to fail. Na kwa Tanzania ndipo tulipo. The only thing we plan best is politics
   
 5. n

  niweze JF-Expert Member

  #5
  May 21, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Good catch Mkuu. Hakuna think tank itatoka ndani ya hivi vichwa. Wametoka miaka ya sixties na mpaka leo tunaona contributions zao, tunataka kuwapa hii nafasi ya "think tank?"

  Members wa Think Tank ktk nchi yeyote ile ndio wanachangia kuongoza na positively kutafuta solutions za nchi sio kuiba kura, kuiba mali za serikali na kufanya mipango kila leo kuficha siri ili wananchi wasijue funds zinatumikaje na revenues za nchi ziko ktk hali gani. Serikali ya ccm ni rebels wa watanzania na lazima tuwamalize.

  Think Tank don't lead their people to poverty hata mara moja ....
   
 6. shiumiti

  shiumiti JF-Expert Member

  #6
  May 21, 2011
  Joined: Jun 4, 2009
  Messages: 438
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ninaweza sema Toka Jk aingie madaraka, hiyo Tume haijafanya lolote na ninafikiri haipewe nafasi yake. Afadhali kipindi cha Mkapa alikuwa anaitumia sana hiyo Tume hasa kwenye mikakati yake ya MKUKUTA, MKURABITA na hata MKUZA.......

  Huyu Rais wetu wa sasa hajui umuhimu wa hii tume, ndo maana kila siku anamtafuta mchawi wa kuyumba kwa uchumi...mara semina elekezi, mara nini!!! ILA MWISHO WA SIKU LAZIMA AJUE KUWA NCHI INAONGOZWA KWA MIKAKATI NA MIPANGO MADHABUTI....AMBAPO UKISHAPANGA, UNAITEKELEZA.......THEN MABADILIKO YANAONEKANA. YEYE ANALETA USANII KWENYE MAMBO YA UCHUMI, NA ASIPO LITAMBUA HILO, ATAFULIA KWELI NA ATAZIDI KUYUMBA MPAKA 2015.
   
 7. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #7
  May 21, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Kimsingi lengo la kuanzishwa hii tume ni kukabiliana na changamoto tofauti za taifa hili. Lakini kama ilivyo kwa taasisi zingine za serikali, haipewi meno inayostahili. Tafiti huzaa sera. Kama taifa tuna sera nzuri sana kama mkukuta, mkurabita, kilimo kwanza, ubinafsishaji n.k. Kwa nini tuwe na sera nzuri ambazo tunashindwa kuzitekeleza wakati tumetumia gharama kufanya tafiti. Tume ya mipango kama think tank yetu inaposhindwa kufikia malengo yake ni wazi inapata ushirikiano mdogo uliojaa siasa. Labda hizi sera tunazikopa toka nje ndo maana zinashindikana kutekelezeka.
   
 8. G

  Godwine JF-Expert Member

  #8
  May 21, 2011
  Joined: Jan 15, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  ni tume sahihi yenye vichwa wengi sana lakini watawala wetu hawafuati ushauri wao na kazi zao zimekaa kwenye makabati tu, mimi niliwahi tembelea ofisi zao nikaona jinsi walivyokuwa na mipango ya kushauri lakini hawapewi nafasi ya vitu vyao kutumika
   
 9. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #9
  May 21, 2011
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Agree with you, these people always think on the best ways to legitimize the misuse of resources. Like The National Identity project, Radar project, IPTL, Dowans etc. You can call them National Thieves Tank. The are always working towards planning bamboo projects with billions of money.

  Note: Bamboo project was the project initiated by two prominent researchers of UDSM water resources, on how to use bamboo pipes from abamboo tree in transmitting water, later on, one counterparty decided to publish a cooked report alone which earned him a professorial title, immediately the other counterparty started to work on reversing the credibility of their findings and discredited it as total rubbish as will increase the cost of transmission due to high friction experienced on the sides which will require more pumping effort (i.e pumping energy). The project costed a lot of money for nothing.
   
 10. Kabembe

  Kabembe JF-Expert Member

  #10
  May 21, 2011
  Joined: Feb 11, 2009
  Messages: 2,236
  Likes Received: 928
  Trophy Points: 280
  Tume yenyewe ya sasa haina watu ambitious kama enzi za Abdallah Kigoda akiwa mipango na Prof Mbilinyi akiwa finance ministry.Those were Think tanks we're missing now.
   
 11. Donyongijape

  Donyongijape JF-Expert Member

  #11
  May 21, 2011
  Joined: May 28, 2010
  Messages: 1,451
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  wapo pale kwa kula hela yetu tu..hakuna impact yoyote! kila wakilala na kuamka wanakuja na researches tu..ambazo hazina tija kimsingi!. ecoomic forecasting zao hazina reality na kinachotokea..utekelezaji wa sera wanazotunga umekaa kisiasa pia. so heri tusiwe nao kabisa..na nakwambia siku tukiingia barabarani tutaanza na hawa!.
   
 12. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #12
  May 21, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,565
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Labda kuna Tink Thank siyo Think tank
   
 13. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #13
  May 22, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  nadhani hii ndio sera ya ukimwaga ugali namwaga mboga. I think what the boss meant of stealing think tanks is in terms of brain drain. There are so many Tanzanian intellectuals in diaspora, who would like to dare to come back but unfortunately, political, economic, social and technological environment are not conducive
   
 14. G

  Godwine JF-Expert Member

  #14
  May 22, 2011
  Joined: Jan 15, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  daima si tatizo la tume bali mfumo mzima wa uendeshaji wa nchi
   
 15. Mwanamalundi

  Mwanamalundi JF-Expert Member

  #15
  Jan 31, 2015
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 3,034
  Likes Received: 396
  Trophy Points: 180
  In a brief, the Planning Commission was established as an agency for strategic thinking (think tank) on the national economy, providing advice to the Government on medium and long-term strategies for socio-economic development. The Commission is also responsible for monitoring and analyzing global and national development trends and providing advice on macro and sectoral policies. Consequently, the Commission focuses on strategic policy analysis on issues and problems of great public importance with a view to proposing appropriate solutions. Through our website, you will discover our plans, commitments and strategies to translate our mission into realities. Over time, the website will articulate actions and efforts taken by POPC to realize the objectives of its existence. You will find information about the national development plans i.e. National Development Vision 2025, Long – term Perspective Plan (LTPP) 2011/12-2025/26, the Five Year Development Plan (2011/12-2015/16) and Annual plans.
   
Loading...