Tume ya Maridhiano isikose Mashehe!

Sheikh Ponda akiongea utamsikia anasema "Mimi na Masheikh wenzangu tumefanya tafiti tumegundua....."

Hii kitu huwezi kusikia kwa Masheikh wa bei za jioni ambao wanazidiwa akili hadi nawauza karanga.

Haiwezekani Muuza Karanga anazo taarifa za TEC kutoa Waraka tangu kipindi cha Nyerere hadi sasa ila wewe Sheikh kabisa unasimama mbele za watu unawalisha Matangopori eti hawajawahi kutoa Waraka Rais akiwa Mkristo. TF?!!!

Samahani nje ya Mada.
 
Sheikh Ponda akiongea utamsikia anasema "Mimi na Masheikh wenzangu tumefanya tafiti tumegundua....."
Nyinyi wagalatia miaka nenda rudi humu JF mlikuwa mnamuita Sheikh Ponda ni Gaidi
Leo mnajifanya mnajua saaaana
Haya soma mwenyewe






 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…