Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 6,697
- 9,048
Bahati Mbaya Waitara ni wa kanda ya Ziwa. Hakuna kitu hapo. Jamaa wa hii kanda wanabebana sana!Matume yote ya awamu hii ni ya ovyo.
Bahati Mbaya Waitara ni wa kanda ya Ziwa. Hakuna kitu hapo. Jamaa wa hii kanda wanabebana sana!
Huyo hana nguvu yoyote na inasemekana alikuwa kwenye mazungumzo na SISIEM ili kuunga mkono juhudi za asiyehudhuria misiba ya kitaifa kwa masharti ya mganga aliyetafutiwa na Bashite.Mhe. Joseph Mkundi(MB) Jimbo la Ukerewe-CHADEMA yupo kwenye Tume.
Naamini atasimama kidete kutetea hoja za Wana Ukerewe kwa kuzingatia maslahi mapana ya Wapiga Kura wake waliopoteza Maisha na walio Hai.
Hivi ile tume iliyoundwa baada ya kuzama kwa meli ya Mv Bukoba, haikutoa ripoti yake hadharani..? Haikusema sababu na jinsi gani tungeweza kuzuia maafa mengine ya kwenye maziwa..?
Swali la msingi sasa; Tume imeundwa kuchunguza kuzama kwa kivuko cha Mv Nyerere, ina maana tunavyoambiwa kivuko kilizama baada ya kuzidisha abiria na mizigo, na kisha abiria kuanza kusogea upande wa mbele na kusababisha boti kupinduka hazikuwa za kweli hizo..? Na mbona sasa kuna hatua zilishachukuliwa (japo waliochukuliwa hatua ni mbuzi wa kafara tuu), wametumia uchunguzi gani kuchukua hatua hiyo, iwapo tume waliyoiteua haijaleta majibu..?
Na jee, hao wajumbe wa hiyo tume, wanalipwa posho au wanafanya kazi kizalendo..?
Law of Flotation states that when a body is partially or totally immersed it displaces the amount of fluid equals to its own weight ''Idadi ya abiria ilizidi sawa kwanini haikuzama iliko anza safari izame ilipofika ama karibia kutia Nanga Hata tukujenga nyingine abiria wapewe elimu hatua kwa hatua''
Tume ya uchunguzi kazi yake ni nini hasa ,kwamba kivuko kilikuwa na idadi sawa na inayohitajika zikatoka idadi ya uongo au ? Swali la kijana wangu kaniuliza jana
Ukweli ni kwamba hii Tume haina tija zaidi ya kuongeza gharama na ulaji wa Fedha za walipa Kodi.
Kama uwezo wa kivuko ni kubeba watu 101 na maiti zilizo opolewa kwenye maji ni 224 jumlisha 41 waliookolewa wakiwa hai jumla inakuwa 265....Huu ni ushahidi tosha kabisa kuwa MV Nyerere ilizidisha uwezo wake karibia mara 2 na nusu,,,,,bado kuna magy=unia mamia kadahaa ya mahindi, kuna lorry lilikuwa na nguzo za Tanesco na magari mengine madogo zaidi ya 3...sasa unapounda Tume ifanye nini hasa kama siyo Serikali kutaka kucheza na akili za Watanzania.....???
Swali la msingi sasa; Na mbona sasa kuna hatua zilishachukuliwa (japo waliochukuliwa hatua ni mbuzi wa kafara tuu), wametumia uchunguzi gani kuchukua hatua hiyo, iwapo tume waliyoiteua haijaleta majibu.
Swali la msingi sasa; Na mbona sasa kuna hatua zilishachukuliwa (japo waliochukuliwa hatua ni mbuzi wa kafara tuu), wametumia uchunguzi gani kuchukua hatua hiyo, iwapo tume waliyoiteua haijaleta majibu.
Hivi muda gani umepita toka mbunge wa huko Ukerewe kulalamika kuhusu kivuko..? Alisikilizwa..? Hao waliochukuliwa hatua ndo wangeweza kununua kivuko kingine..? Walio na uwezo kimaamuzi mbona bado wapo makazini..? Hakuna tofauti naona, shida ni ile ile..ninavyohisi: wamechukuliwa hatua kwa kua wameshindwa kuchukua hatua, how come siku 3 zimepita toka kuzama kivuko watendaji wakuu wapo kimya yani wameshindwa ata kuchimba mkwara kwa port master WHY aliruhusu kivuko kiondoke kikiwa na abiria wengi??
huku ndio kufanya kazi kwa mazoea..jamani zama zimebadilika hizi hii ni awamu ya5 na rais ni Magufuli