MAKOLE
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 620
- 282
"Enyi mliopewa dhamana na wenye kutumia kodi za wananchi masikini
Oneeni huruma kundi kubwa la wasio na ajira wanaohangaika kutwa kucha
Kuweni msaada kwa na sio sababu ya sumbuko lao
Ogopeni kutumiwa na taasisi za kisiasa kwa maslahi ya asiyejulikana
Isije ikawa mnatoa mkururu wa matangazo ili kesho wapande jukwaani wapaze sauti kwamba nafasi za ajira serikalini zimetolewa na wenye sifa wameajiriwa.
Hivi mnajisikiaje mnapotumika hivi kama CO...ndo....m.
Ni juzi tu tarehe ya kutuma maombi ya kazi kupitia nyie imepita
Nazungumzia tarehe 25/7/2913
Leo TAREHE 6/8 BILA YA AIBU TENE MCHANA KWEUPE MNARUDIA MATANGAZO YALEYALE.
Mlikaa lini kuchambua zile barua ambazo watanzania watoto wa masikini walinunua stempu na bahasha na wakatuma barua zao????/
Na kama ilikuwa n lazima kuyarudia.....kwa nini hizo taasisi zisiunganishe matangazo yatoke kwa wakati mmoja?
Hivi najiuliza..
Kuna nafasi kweli za kazi au ni usanii wenu tu?