Tume Mipango yamfunda Mbowe

Mbowe angefanya la maana kama angehoji matumizi ya fedha hizo, vinginevyo atakuwa ameshazoea kuona fedha za umma zinaliwa ovyo na kutumika kwenye mambo yasio na msingi. Nasikia amechukizwa sana na fedha zilibanwa na bunge kwenda kunulia madawati, walitaka wabunge wakazitumie kwenye nyama choma na kusafiri na vidosho vyao.
 
Juha anayeongoza chama kikuu cha upinzani Tanzania.mmh kuishi kwingi kuona mengi.

ivi kwaninn umtukane mtu? unashindwaje kumjibu kwa hoja? hili ni jukwaa la watu waelewa jitaidi kua na busara kidogo.
 

kwa majibu kama haya mnashusha sana hadhi ya hii forum kiukwel.
 
Mbowe ndio bado anaendekeze ushabiki wa chama, hajitambui.
 
kwa majibu kama haya mnashusha sana hadhi ya hii forum kiukwel.
We mtu gani hakubaliani hata na hoja za kuwashughulikia wabadhilifu wa mali ya umma na mafisadi, anaitakia nini nchi hii?
 

Hoja hupingwa kwa hoja ndio msingi wa majadiliano yenye kuketa tija ,Ila kwa hichi ulicho kiandika hapa nnaomba niseme 'umasikini' bado utatuhusu Watanzania kwa miaka kibao ijayo...Unamshambulia mtu mtu binafsi badala ya kujadili alicho kisema.
 
Hivi wanapata wapi mda wa kumjibu mtu kama mbowe ambaye uelewa wake sawa mwanafunzi wa darasa la tano c, uelewa wa mbowe ni mdogo sana yeye mda wote anafanya siasa tu.
Mbowe ni taasisi sio kama unavyodhani. Hakuongea kama Freeman Aikaeli Mbowe, bali kama KUB.
 
ivi kwaninn umtukane mtu? unashindwaje kumjibu kwa hoja? hili ni jukwaa la watu waelewa jitaidi kua na busara kidogo.
Ndiyo maana nimemshangaa ndugu yangu alieamua kumuita KUB juha
 
Binafsi, kumtusi mtu si kwamba umemshushia hadhi, lkn inaonyesha jinsi gani mtoa tusi alivyo, hoja inajibiwa kwa hoja Na sio matusi, mtu anaona hna uwezo wa kujibu hoja anakimbilia matusi,
 
Kwa nchi ilipo sasa tunahitaji sana Dikteta Mzalendo kuliko wakati mwingine wowote, sasa kama Magufuli akiendelea kuweka maslahi ya umma namna hii, yes tunamhitaji awe dikteta zaidi ili ainyooshe nchi hii.
 
Mbowe form six kilaza tu
Kwanza muda wote wanasusa hawezu kukumbuka kama kuna sheria ilipitishwa 2015
Yeye ni form 6 ndio ila historia ya siasa haitamsahau hata afe leo.Na pia kuna watu hawalali kuona ni jinsi gani wanammaliza Mbowe kisiasa.Sasa wewe na elimu yako ya kuunganisha vyeti imekusaidia nini?Huna legacy yoyote unayoweza hata kumuachia ndugu yako.
 
Bajeti ya wizara hiyo ni Billion 800, hivyo kwa serikali kuipa wizara Billion 600 ujue hapo ata 80% ya bajeti yao haijafika.Think!
 
No quotes of that act
How can we prove
 
We mtu gani hakubaliani hata na hoja za kuwashughulikia wabadhilifu wa mali ya umma na mafisadi, anaitakia nini nchi hii?
Pale ndipo nilipojua wapinzani wetu wameishiwa hoja, atleast kwa sasa maslahi mapana ya nchi yanawakilishwa na Rais Magufuli, hawa wengine bado wanaongozwa na siasa za maslahi binafsi.
 
Hivi wanapata wapi mda wa kumjibu mtu kama mbowe ambaye uelewa wake sawa mwanafunzi wa darasa la tano c, uelewa wa mbowe ni mdogo sana yeye mda wote anafanya siasa tu.



kwa ulichoandika nahisi hata wewe mwenyewe unaona kabisa haupo sawa elimu haina uhusiano na uongozi ,,,, kikwete kwa elimu yake aliwaongoza maprofesa na madaktari pia humo walikuweko darasa la saba ( lusinde mbunge makini kabisa ndani ya ccm) ikiwa sambamba na kuwapangia kazi jaribu kuwa na busara haya mambo kama huyajui huna haja ya kukoment ni bora kukaa kimya kuliko kujiumbua.
 
Msiushangae upinzani unaoongozwa na oil chafu ya ccm lazima uwe hivyo zingebaki watumishi wa wizara wakaiba wangesema he sijui hawa jamaa.akili zao zimeoza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…