GE2025 Tume imemtangaza Rais, Wabunge wamefikia wapi...!!?

GE2025 Tume imemtangaza Rais, Wabunge wamefikia wapi...!!?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

The Khoisan

Platinum Member
Joined
Jun 5, 2007
Posts
18,206
Reaction score
17,359
Kwanza napenda kusema kuwa nimeshangaa sana kwa uchaguzi wa Rais kuisha na kutangazwa wakati Wabunge na madiwani hawajajulikana. Zaidi ya Baba Revo kumbwaga Zitto sijasikia jina la Mbunge au Diwani yeyote aliyechaguliwa mpaka sasa zaidi ya wale wa Zanzibar.

Tunaomba tujulishwe mgao wa CHAUMA umefikia wapi....!!?
 
Bora nikale zangu nimle na mpishi shachoka!!
 

Attachments

  • IMG_20230129_160134.jpg
    IMG_20230129_160134.jpg
    104.5 KB · Views: 9
Hakika Mungu huwa hakawii wala hachelewi, apandacho mtu ndicho anachovuna, Mwenyezi Mungu huwa hadhihakiwi, this is too much, we cannot tolerate keeping on being sojourners in our own mother land, yaani nisameheni bure, kama kuna mtu bado anaungamkono system ya utawala wa ccm kwa sasa, I dare speaking that he or she must be mentally ill and need a psychological mental check up.. freedom is coming so soon..take this note..
 
Back
Top Bottom