Tume huru ya uchaguzi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tume huru ya uchaguzi.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mroojr, Feb 10, 2011.

 1. Mroojr

  Mroojr Member

  #1
  Feb 10, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Miongoni mwa vitu vinavyolalamikiwa sana ktk kila chaguzi kuu hapa nchini ni TUME YA UCHAGUZI.Malalamiko haya hupelekea mpaka watu kudiriki kusema wameibiwa kura wakati wana mawakala wao humo humo.Binafsi mimi naona ipo haja ya kuiangalia upya sheria ya uundaji wa chombo hiki ktk wakati huu wa mchakato wa katiba mpya ili angalau kupunguza malalamiko hayo juu ya tume hiyo.Jambo ambalo limeanza kutupeleka peleka kwenye udini kitu ambacho ni hatari sana.
   
 2. S

  Silas A.K JF-Expert Member

  #2
  Feb 10, 2011
  Joined: Apr 23, 2008
  Messages: 807
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  mkuu hili unaloliweka hapa ni obvious unataka kusema nini zaidi?
   
Loading...