Tumchokonoe mpaka atapike yote

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
371,548
Reaction score
860,660
Today is my born day! happy born day to me Jr™
Sisi ni wachokonozi kwa maana ya kutaka kujua tu yale yaliyofanyika sirini yawekwe hadharani... Lakini ndani ya chama chao wako wachokonozi wanaotaka majipu yatumbuliwe na usaha wa akina ponjoro uwachafue wote
Ponjoro hayuko pekeyake na hatakubali kukaa kimya... Wameshamchokonoa elimu yake, hawatsishia hapo.. Watachokonoa kila kitu.. Case study ya bashite!

Kina Sendeka wanapoongea kwa uwazi vile ujue fukuto la huko ndani limakaribia nyuzi 1000
Sasa June hii wachokonozi wataongezeka mara dufu na wengi kati yao watatoka kwao
Majipu yamezidi sana.. Yasipotumbuliwa.. Yatavia na kuota kwingine kubaya zaidi

Hiyo ndio shida ya jipu.. Ukishindwa kulipasua linapotea na kuibuka kwingine. Hofu ni kwamba mtumbuaji anaweza asitumie ganzi
 
Hbd Jr more life more blessings.

Kuhusu "Ponjoro " hii anayofanya Mzee wa leseni ya Magari Makubwa kaamua kumuua Mende kwa Nyundo sifikirii Kama wataendelea kumchokonoa.
💪🏿💪🏿💪🏿.. Older than yesterday... Younger than tomorrow...! Ponjoro will face the kwensikwensesi
 
Heri ya kumbukizi ya siku yako ya kuzaliwa kiongozi 🎂🎉🎉
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…