Tumbo lako ni kama ubongo wa pili

Tumbo lako ni kama ubongo wa pili

OMOYOGWANE

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2016
Posts
5,139
Reaction score
12,882
Wakuu mpo!

Mfumo wako wa chakula (Tumbo) ni muhimu kama ubongo. Inashangaza kuona watu wakipanda boda boda wanavaa helmet ila wakienda kula wanakula kimazoea bila kulijali tumbo kama wanavyo kijali kichwa. Watu wengi hawalijali Tumbo,

Shibisha tumbo lako kwa kula vyakura vizuri mboga mboga na matunda

Matunda bei rahisi machungwa, ndizi, tikiti, nanasi parachichi. Mayai bei rahisi elfu moja unapata mayai mawili, dagaa na samaki bei rahisi, mboga mboga bei chee karoti, mchicha spinach n.k huku unakula nyama mara moja moja

Magonjwa ya ajabu ajabu utayasikia kwa wengine, uwezo wa kufikiri utaongezeka, stress zitaisha zenyewe pia inaleta hali ya kujiamini.

Wakuu tuyajali matumbo yetu kwa vitu vizuri

Tunakumbushana tu sio kwamba hamjui.

Nawasilisha
 
Wakuu mpo!

Mfumo wako wa chakula (Tumbo) ni muhimu kama ubongo. Watu wengi hawalijali Tumbo,

Shibisha tumbo lako kwa kula vyakura vizuri mboga mboga na matunda

Matunda bei rahisi machungwa, ndizi, tikiti, nanasi parachichi. Mayai bei rahisi elfu moja unapata mayai mawili, dagaa na samaki bei rahisi, mboga mboga bei chee karoti, mchicha spinach n.k huku unakula nyama mara moja moja

Magonjwa ya ajabu ajabu utayasikia kwa wengine, uwezo wa kufikiri utaongezeka, stress zitaisha zenyewe pia inaleta hali ya kujiamini.

Wakuu tuyajali matumbo yetu kwa vitu vizuri

Tunakumbushana tu sio kwamba hamjui.

Nawasilisha
Sahihi!Tungi tutamuachia nani!
 
Sahihi!Tungi tutamuachia nani!
Bia ni carbohydrate mkuu.
Kunywa bia moja au mbili agiza na nyama choma waweke kachumbari yenye karoti nyanya tango hoho na viungo vingine unaongezea na ndizi za kukaanga

Sio unqpiga bia kreti zima hivo hivo hiyo inakuwa sumu mkuu
 
Back
Top Bottom